Heri ya mwaka mpya 2022

Heri ya mwaka mpya 2022

Hahahahh

Picha picha picha usisahau 😊

Happy New Year all the way from Suva...

IMG_20220101_000512_HDR.jpg

IMG_20220101_000113_HDR.jpg
 
Hello people

Tumebakiwa na masaa kadhaa tuumalize mwaka 2021,ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila jambo,yapo mengi magumu tumepitia lakini kwa kila jambo ni muhimu kumshukuru Mungu hadi hapa tulipofikia

Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya
Mwenyezi Mungu akatujaalie afya njema,hekima,mafanikio,moyo wa kupambana bila kukata tamaa,akatupe moyo wa kusamehe na kuachana na visasi,akatujaalie moyo wa upendo na maelewano,akatukumbushe kufanya ibada,chuki na visasi vikakae mbali na mioyo yetu....tunatubu kwa kila baya tulilofanya kwa kujua ama kwa kutokujua AMEN!

Wewe unayepitia magumu kwa sasa usikate tamaa,hili nalo litapita...2022 utakuwa mwaka mzuri kinyamaaa!
Asante Mungu kwa haya maisha

Mungu ni mwema wakati wote!!
Mimi nawapenda
Cheers to 2022

Huu mwaka Bora uishe tu maana majanga tupu!!
 
Endeleen kujipa Moyo tu, Hamsali, hamuendi misikitini...hata ile ya kihome home hamnaaaa !!.

Jion mnaenda kupigana miti malodge,wapo mtakaokula Tgo, wapo mtakaoliwa Tgo, kama mlivyofanya sikukuu ya Krismas .

Mungu kawapa Uzima, Afya njema kila siku katika siku 366, alafu mnakumbuka leo tena kwa kumtaja tu, huko nje kuna wagonjwa, yatima, masikini, wajane , wasokua na mavaz wala Chakula.

Sema ni Life tu, Bwana Yesu alikuja kutufia sisi wadhambi, sema TUJITAHIDINI SANA, JAPO KUUFIKIA UPENDO ALOKUA NAO KWA MWANADAMU......

Watu wamekufa ,wengine wagonjwa, wengine wamekata tamaa, Basi hata kama ni majukumu,, kivyovyote iwavyo, Toa muda wako, tembelea wagonjwa wape sabuni , toa muda wako tembelea Yatima, wape sabuni.

Mimi nimegawa Nguo kwa watoto Yatima.

Umeandika ujumbe mzuri japokuwa;

Utoapo SADAKA hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume.
 
Hello people

Tumebakiwa na masaa kadhaa tuumalize mwaka 2021,ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila jambo,yapo mengi magumu tumepitia lakini kwa kila jambo ni muhimu kumshukuru Mungu hadi hapa tulipofikia

Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya
Mwenyezi Mungu akatujaalie afya njema,hekima,mafanikio,moyo wa kupambana bila kukata tamaa,akatupe moyo wa kusamehe na kuachana na visasi,akatujaalie moyo wa upendo na maelewano,akatukumbushe kufanya ibada,chuki na visasi vikakae mbali na mioyo yetu....tunatubu kwa kila baya tulilofanya kwa kujua ama kwa kutokujua AMEN!

Wewe unayepitia magumu kwa sasa usikate tamaa,hili nalo litapita...2022 utakuwa mwaka mzuri kinyamaaa!
Asante Mungu kwa haya maisha

Mungu ni mwema wakati wote!!
Mimi nawapenda
Cheers to 2022

Hakika Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema, kuhitimisha miezi 12 kwa utashi wa kibinadamu pekee ni mtihani.

Sifa na utukufu ni kwake yeye.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hello people

Tumebakiwa na masaa kadhaa tuumalize mwaka 2021,ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila jambo,yapo mengi magumu tumepitia lakini kwa kila jambo ni muhimu kumshukuru Mungu hadi hapa tulipofikia

Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya
Mwenyezi Mungu akatujaalie afya njema,hekima,mafanikio,moyo wa kupambana bila kukata tamaa,akatupe moyo wa kusamehe na kuachana na visasi,akatujaalie moyo wa upendo na maelewano,akatukumbushe kufanya ibada,chuki na visasi vikakae mbali na mioyo yetu....tunatubu kwa kila baya tulilofanya kwa kujua ama kwa kutokujua AMEN!

Wewe unayepitia magumu kwa sasa usikate tamaa,hili nalo litapita...2022 utakuwa mwaka mzuri kinyamaaa!
Asante Mungu kwa haya maisha 🙏

Mungu ni mwema wakati wote!!
Mimi nawapenda
Cheers to 2022 🥂

MMMMMMMMMMH! NIPO SIELEWI HATA KAMA LEO NDIO MWISHO WA MWAKA DUUUUUH.
 
Everything that happened this year happened for a reason, let's take lessons with us and the memories of happy times. God has been so good so wonderful to me and my life in general Shukrani za kipekee kwako Mungu wangu baba yangu mfalme simba wa yuda unaenijua toka moyoni toka rohoni eeh Jehovah!🙏 Asante kwa kutupa afya uzima furaha amani shibe tabasamu na kila aina ya kilichotufanya tuwe hapa wakati huu. In a few hours this year will be ending. May all your sorrows, failures, heartbreak and disappointments end with it. Amen Lee
Screenshot_20211231-154728~2.jpg
 
Hey Jo, a new year is like starting a new chapter in our lives.

It’s our chance to start writing incredible stories for ourselves.
Ni kweli Watu8
Ajabu sana new year japo siku ni zile zile lakini deep down unafeel new eti😅

Like a fresh start, ule ujinga ujinga wa mwaka uliopita unajikuta unapania kuacha
 
Back
Top Bottom