Heri ya mwaka mpya 2022

Heri ya mwaka mpya 2022

Amen
Nakuombea umpate yule bidada atakayekupenda sanaaa
Ameen,asante kwa wishes. Natamani sn maana upweke umenozidia sn my dada.Hata sasa hivi hapa nipo peke yangu ndani na Natamani ningekuwa na mpenzi tunabadilishana mawazo na kupendanda zaidi.
 
امين يارب
20211231_193730.jpg
 
Ameen,asante kwa wishes. Natamani sn maana upweke umenozidia sn my dada.Hata sasa hivi hapa nipo peke yangu ndani na Natamani ningekuwa na mpenzi tunabadilishana mawazo na kupendanda zaidi.

Hivi unajua nashangaa mwanaume unakosaje wa kuwa nae
Kwanza jinsia ya kike inasemekana tupo wengi
Pili hakuna ugumu wa kupata mwanamke

Tatizo ni nini?ama unachagua sana my kaka?
 
Happy New year kwako ndugu mleta mada ujaliwe hivyo mara mbili kwako .
 
Mwaka na muda ni illusion tu, wala msifadhaike kwa jambo dogo kama hilo, wapo wanaojiwekea limitations ktk malengo yao kupitia muda na wakishindwa kukamilisha hupitia misongo ya mawazo jambo ambalo si zuri.

Wake up guys, hakuna maajabu yoyote ktk muda&miaka, zaidi ya mabadiriko ya mwili wako na hali ya hewa Full stop,

tofaut na hapo, tusijipe presha bure kwa vitu simple& nonexistence.

2022 is just a number like others, juhudi yako na akili yako ndvyo vyakuzingatia sana kulko hayo mtarakimu ya warumi
 
Ni kweli Watu8
Ajabu sana new year japo siku ni zile zile lakini deep down unafeel new eti😅

Like a fresh start, ule ujinga ujinga wa mwaka uliopita unajikuta unapania kuacha

😊

Kiukweli siku ni zile zile tu, vile waliotengeneza kalenda waliamua kusema ukifika hapa ni mwanzo mpya wa mwaka...

Ingawaje, binafsi huwa nachulia serious sana kitu kinaitwa mwaka vile hata umri nao huwa unabadilika, sera za mahali pa kazi, mambo ya nchi n.k...

Ukiendelea ishi vilevile unapata unabaki primitive...
 
Tunashukuru mkuu....

Ila waungwana hakikisheni hamfanyi uzinzi usiku wa leo.
 
Hivi unajua nashangaa mwanaume unakosaje wa kuwa nae
Kwanza jinsia ya kike inasemekana tupo wengi
Pili hakuna ugumu wa kupata mwanamke

Tatizo ni nini?ama unachagua sana my kaka?
Hahahaaaaa my dada si rahisi kumpata binti kama unavyodhani hasa kwa mtu kama mie ninayeshinda ndani na nikitoka ni kibaruani then narudi ndani.

Halafu sina hulka ya tongozatongoza kabisaaaa.
Sijui kwanini ninyi wadada huwa mnaona rahisi sn kumpata mwanamke ?ni kwnn labda? Wakati ni kazi kweli kufuatilia,utakuta mtu ha-respond unahangaika weeeeeeee aaarrrgh
 
Back
Top Bottom