HahahahaShukrani Joy... Hizi holidays zinatufichua tulipokuwa.
Well said.Karibu sana. Do not be afraid of making mistakes, that's how you learn.
Nitafurahi ukinionaOouh...inabidi nikuone sasa.
Oooh sawa mm mzawa wa kwenye joto lazima nijeeeHapana....nyakati hizi hutuoni hizo sehemu kwetu ni huku kwenye baridi.
colietha pia sijakusahau
AsanteeNimeshafika mpendwa. Happy holidays mzurie.
Kumbe j.jes ni mwanamke?
Nawe pia nakutakia heri ya Xmass na mwaka mpya.Ni mwaka unakatika sasa. Tumekuwa wote humu jukwaani tukibadilishana mawazo na kuelimishana.
Huu uzi uwe mahususi kwa wanaJF kutakiana heri za krismasi na mwaka mpya popote tulipo. Mwaka unapokatika tunamaliza tofauti zetu na kuanza upya mwaka unaofuatia.
Karibuni wanaJF.