Heri mume wa mtu?

mamushkar

Member
Aug 5, 2011
26
8
kesho ni holiday
natafuta wa kuinjoy nae
napiga simu kwa asha
huyu ni rafiki yangu anafanya kazi ,ananiuliza una hela? mara nyingi wkendi huwa naenda kukaa kwake narudi kwangu jpili jioni yeye ni mnywaji mimi sio hela zote natoa mimi hata matumizi ya hapo kwake anzia vitafunio siku nipo nitatoa mimi

nimempigia x huyu ni x boyfriend wangu nikamwambia twende bagamoyo
the same quiz una hela?
nae tuliachana kwasababu hizo hizo alikuwa namimi kimaslai huku yuko na mademu wengine but tuko marafiki.

nimepiga kwa Q ni my cousin ameniuliza atakunywa bia ngapi kwanza?

kwanini pesa mbele jamani? hatuwezi kuthamini urafiki bila pesa?

nimepiga kwa big
huyu ni mume wa mtu anafanya kazi shirika la kimataifa ni boss hana shida ya hela
amekubali
lakini kiukweli sipendi tabia ya kuwa na mume wa mtu

sasa nifanyeje jamani na mimi kutoka nataka? pls nisaidieni
 
Kaaaaaaazi kweli kweli ,sasa mme wa mtu anakubali ki date Eid nzima kweli hataki kuwa na familia yake? mambo magumu sana haya.
 
Mume wa mtu ni sumu dadaangu, kwanini usitoke na jamaa ako? Mbona mnapenda kuchokoza watu akati wametulia, ?? Fanya kile ambacho hata wewe ungependa uje kufanyiwa,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom