Heri mume wa mtu?

mume wa mtu ni sumu dadaangu, kwanini usitoke na jamaa ako? Mbona mnapenda kuchokoza watu akati wametulia, ?? Fanya kile ambacho hata wewe ungependa uje kufanyiwa,
asante sana rafiki kwa ushauri mimi jamaa sina ila nilitaka tu mtu wa kuinjoy tu kawaida sema ndo hvo watu hawako real
 
kama una mawazo kaa kimya sio unaparamia tu miti? Nilidhani hili ni jukwaa la magreat thinkers kumbe kwenye msafara wa kenge mamba nao wamo

|Asante sana na kweli umesema vyema kwenye msafara wa mambo pia kenge wapo na hapa kwenye msafara wa great thinker kuna wasioelewa kitu
 
|asante sana na kweli umesema vyema kwenye msafara wa mambo pia kenge wapo na hapa kwenye msafara wa great thinker kuna wasioelewa kitu
ndo wewe sasa usiyeelewa kitu mtu kuwa na urafiki na binamu yake unaona ajabu? Sasa unaelewa nini huku duniani wewe
 
Wanaume bwana,

Changu changu, chako chetu.....Wake za watu ruksa kwenye yale mambo ya infii ile wanaume wa watu mwiko!!

Khhhaaaaaaaaaa....Hii dunia ina vituko!!
 
Nauza "maputo" ya kike na ya kiume, ni PM nikutafute nikupatie kwa ajili ya kesho, ok, njoo tutoke mwaya Mpwa, mie sinywi so sina gharama ila ntahitaji mafuta ya gari tu, kudanganya kwamba nina kikao ofisini au nasafiri kikazi si shida....ni PM twende popote pale hata kuzimu..
 
nauza "maputo" ya kike na ya kiume, ni pm nikutafute nikupatie kwa ajili ya kesho, ok, njoo tutoke mwaya mpwa, mie sinywi so sina gharama ila ntahitaji mafuta ya gari tu, kudanganya kwamba nina kikao ofisini au nasafiri kikazi si shida....ni pm twende popote pale hata kuzimu..
siitaji puto sina shida ya sex i can sex with anybody even u kama nikipenda. Pumbavu
 
Hili ni tusi kwa waliooa, inaonesha wao ni wa kuliwa tu ,au wanalengwa kimaslahi tu,
kuweni makini kwani wengi wenu tayari maisha mshayapata na ndio maana mnamiliki familia ila mi naona ni uzuzu kumfurahisha mwanake wa nje huku mkeo anayekuheshimu na kukunyenyekea akiwa hana kitu na watoto nyumbani,
kama mkeo unahisi mmeshindana na huna furaha nyumban na unaona huyo unayemhudumia ndio anafaa fanya maamuzi magumu ya kuachana naye na umchukue huyo unayeona anafaa,
 
Kwa wanaohitaj vyumba, wabuk leo... Kesho ni full kila sehemu..
 
ndo wewe sasa usiyeelewa kitu mtu kuwa na urafiki na binamu yake unaona ajabu? Sasa unaelewa nini huku duniani wewe

Sielewi lolote na inaelekea niko dunia nyingine kabisa
Hebu nieleweshe basi nielewe na unifundishe kama mtoto wa darasa la kwanza
by the way sielewi kitu bana mi nipo nipo tuu kama kenge kwenye msafara wa mamba anapelekwa pelekwa tuu
 
I can emagine. Sory best nimekuonea imani sana sina cha kukuambia kwasababu namimi ni mume wa mtu na mbaya zaidi hata pesa sina.
 
sielewi lolote na inaelekea niko dunia nyingine kabisa
hebu nieleweshe basi nielewe na unifundishe kama mtoto wa darasa la kwanza
by the way sielewi kitu bana mi nipo nipo tuu kama kenge kwenye msafara wa mamba anapelekwa pelekwa tuu
una binamu? Na mahusiano na binamu zako yakoje?
 
Jamani Mpwa mbona umejibu kwa ukali hivyo hadi najiskia vibaya? kwani "maputo" ni kwa ajili ya Sex? haya mwaya njoo tu basi tu-sex kama ndio unavyotaka, kwahio hio trip ndio umeninyima kutoka na wewe? haya mwaya
siitaji puto sina shida ya sex i can sex with anybody even u kama nikipenda. Pumbavu
 
From Temeke to Ilala.

In 31-08-2011

Out 01-09-2011

Booked 25-08-2011
Paid 25-08-2011
 
jamani mpwa mbona umejibu kwa ukali hivyo hadi najiskia vibaya? Kwani "maputo" ni kwa ajili ya sex? Haya mwaya njoo tu basi tu-sex kama ndio unavyotaka, kwahio hio trip ndio umeninyima kutoka na wewe? Haya mwaya
huna maana
 
Back
Top Bottom