Heri mume wa mtu?

Heri mume wa mtu?

hivi kutoka inamaanisha ngono? hawezi kutoka na whoever bila kuishia huko?
mtoa mada,hebu ni-pm tukale zetu maisha! kuna watu wanapenda mteremko kweli,it is disgusting
talk about mitandao ya ngono....mpaka binamu yako ndani..lol

halafu why siku za sikukuu wanawake na watoto hawana tofauti?
lazima utoke??????

Boss you're absolutely right . iIla inategemea ni aina gani ya mwanamke kwani wanawake watafutaji na wenye kuweka malengo ya maendeleo ya familia yao mbele na wenye shughuli au project za uzalishaji siyo rahisi akumbuke kwenda out na huo msamiati wengi hawana. Kizazi cha outing ni hawa wadada wanaojidai kuishi kizungu na hata kama amesoma akitoka kazini hupenda kuoga na kukaa kwenye kochi na kumpelekesha binti wa kazi huku akibadilisha channeli za TV kutafuta miziki ya bongo fleva na mipasho na akitoka hapo atatafuta wauza urembo wampake rangi kucha.

Wanawake wa namna hii huwa nawaita LIABILITY kwani wanawaza tu kutumia na si kutafuta njia ya kuongeza kipato na matokeo yake kama mume ana msimamo tofauti naye basi hutafuta wanaume wanaokubaliana naye na mara nyingi huishia kugawa ndoa nje .

Yaani kweli kweli kabisa unasema sina maana wakati nimeshaanza kufikiria jinsi nitakavyodanganya nyumbani ili tutoke wote....au kwasababu nimekuoba pesa ya mafuta? keubali basi laazzizi wangu jamani, sikukuu wawili wawili huyu yeye namuacha na watoto nyumbani, sikukuuu na mambo mapya basi eeeeh, tunarudi jumapili pls and pls, nasubiri basi
huna maana

boss you're absolutely right . Iila inategemea ni aina gani ya mwanamke kwani wanawake watafutaji na wenye kuweka malengo ya maendeleo ya familia yao mbele na wenye shughuli au project za uzalishaji siyo rahisi akumbuke kwenda out na huo msamiati wengi hawana. Kizazi cha outing ni hawa wadada wanaojidai kuishi kizungu na hata kama amesoma akitoka kazini hupenda kuoga na kukaa kwenye kochi na kumpelekesha binti wa kazi huku akibadilisha channeli za tv kutafuta miziki ya bongo fleva na mipasho na akitoka hapo atatafuta wauza urembo wampake rangi kucha.

Wanawake wa namna hii huwa nawaita liability kwani wanawaza tu kutumia na si kutafuta njia ya kuongeza kipato na matokeo yake kama mume ana msimamo tofauti naye basi hutafuta wanaume wanaokubaliana naye na mara nyingi huishia kugawa ndoa nje .
hii dunia tunapita wewe kila siku tunatafuta kuna siku za mapumziko hela wala haijai unaelekea wewe ni mchoyo hata kwa nafsi yako acha kula upate maendeleo basi tuone

hivi kutoka inamaanisha ngono? Hawezi kutoka na whoever bila kuishia huko?
Mtoa mada,hebu ni-pm tukale zetu maisha! Kuna watu wanapenda mteremko kweli,it is disgusting

hata mimi nawashangaa mtu ukisema kutoka akili ziko kitandani watu wanafikiria kusex ndo maana hii nchi haiendelei jamani

Me kesho najifungia ndani kuwatch muvi mpaka ijumaa asbh naelekea job

These days ni hela mbele ndo maana maisha ya sikuizi hamna urafiki wa ukweli. Ukiona mtu yuko benet na wewe lazma anafaidika in one way or another, sio bure. Urafiki wa ukweli umebaki kwa asilimia chache sana sikuizi. Inatia huzuni sana. Neno hela limetawala kila kitu mpaka kwenye nyumba za kuabudu.

Kuna waume za watu nao wanafata wanawake wenye hela tu. Mifano tunayo humu mitaani.

4 me heri mke wa mtu if u wanna enjoy sex, Ww Mamushkar ww, why don't you call me?
Utapata vyote just call me, umepotea ww

kuna ubaya gani kutoka na cousin yako? Istoshe cousin aweza kua msichana au mvulana.

Tangia mwanzo order ilibase kwa wanaume

kuna ubaya gani kutoka na cousin yako? Istoshe cousin aweza kua msichana au mvulana.
umeamua kumtetea pacha wakosio?
haya mamii, vipi leo huendi jim?

These days ni hela mbele ndo maana maisha ya sikuizi hamna urafiki wa ukweli. Ukiona mtu yuko benet na wewe lazma anafaidika in one way or another, sio bure. Urafiki wa ukweli umebaki kwa asilimia chache sana sikuizi. Inatia huzuni sana. Neno hela limetawala kila kitu mpaka kwenye nyumba za kuabudu.
Nakubaliana na wewe Angalia marafiki waliokuzunguka
wanahela?
hawanahela?
wanakazi?
hawanakazi?
wanavyanzo vya pesa vinavyo eleweka?
Au wewe ndio mfalme/mfadhili wao?
nawewe je una hela??? kama hazipo watakukimbia na nilazima utafute size yako.

Back
Top Bottom