Mkuu wa mkoa tena?Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Hata wewe umekosea sio Mabumi ni mabumoSiyo Henry Magumo bali ni HENRY MABUMI
Sahihisho.Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Sahihisho kidogo mkuu, Suleiman kova alikuwa kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es salaam na wala siyo mkuu wa mkoaMtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Alaf ukizingatia mwenzie juz kapotelea kuckojulikanaUnaweza kuwa unamlaumu bure anaripoti huku pembeni kuna vifaru na defender za FFU unadhani atakuwa na amani.
kusema uongo ni dhambi kubwa kama kuzini tu..Kumlaumu mtangazaji huyo ni kumuonea tu!Kama unashuka leo Mji Mkongwe haina tofauti yyt na Ukanda wa Gaza tena enzi za utawala wa PM Yitzhak Rabin