Rhobi1961
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 888
- 682
mkuu wa mkoa wa dar esalaam!!!!!!! huyu kova ninaye mjua au mwingine!Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
mkuu wa mkoa wa dar esalaam!!!!!!! huyu kova ninaye mjua au mwingine!Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Hahaaa ..... mkoa wa kipolisi kanda ya dar.Mhmm mkuu wa mkoa?! acha kupotosha hakunaga mkuu wa mkoa aliyewahi kuteuliwa kwa jina hilo nadhani hizo ofisi za lumumba wamewadanganya. Anyway lumumba ndio eneo la kupika majungu na fitina.
Dah hii kali najua wajua kuwa kova hajawahi kuwa mkuu wa mkoa wowote hapa tzMtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Nilikuwa natizama itv, jamaa ameripoti kuwa misururu ya wapiga kura ni marefu sana kitu ambacho hakikuwa sahihi, masako aliye kuwa studio ilibidi amwambie kuwa analo sema ni tofauti na kinachoonekana kwenye picha.Nasikiliza radio one yanayojiri Zanzibar namsikiliza huyu mtangazaji anavyojiumauma. ITV fanyeni substitution haraka anaharibu taaluma za waandishi. Huenda ana tatizo fulani yaani anatetemeka tu.
kwa polisi wetu hawa, na muktadha wa tukio linalo endelea, kuzungukwa na polisi siyo uhakika wa usalama kabsaaa! ref. Mwangosi aliye kufa katikati ya kundi la wanao itwa wana usalama!, ktk hali hii mwenye usalama ni yule tuu aliye upande CCM baaasi!!!Waandishi huwa ndio wapiga kelele kuomba wawe wanapewa ulinzi wa kutosha wanapofanya kazi zao! vifaru kama vipo, vipo kwa kuitikia kilio cha waandishi wa habari cha kupewa ulinzi wa kutosha.Hayo ya kuripoti hayawahusu madereva wa vifaru..Kazi ya dereva wa kifaru kuendesha kifaru na mtangazaji kutangaza.Hamna mgongano hapo.
Ni Henry MabumoAsante kwa rekebisho Hilo.
Ilibidi nikimbilie kwenye tv kuangalia niksona nitofauti nakile nachosikiliza radion.Kuona jina la ripoter ni mabumi kumbe dil limebumaNilikuwa natizama itv, jamaa ameripoti kuwa misururu ya wapiga kura ni marefu sana kitu ambacho hakikuwa sahihi, masako aliye kuwa studio ilibidi amwambie kuwa analo sema ni tofauti na kinachoonekana kwenye picha.
Ha ha mkuu nimecheka sana, wazenji ni majambazi ndio maana vifaru Na vikosi toka bara vimeenda kuwadhiti maharamia haoKwa hiyo Zanzibar kutakuwa na majambazi wengi sana ndiyo maana polisi wamejazwa huko na majambazi yameshindwa kutoka ndani kabisa
Wewe kiumbe Nyaku nyaku kweli ,Kova alikua mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ??Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Kova alikuwa mwana usalama incompetent kuliko maelezo.Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Mwangosi kule Nyololo naye alikua ni reporter wa Chanel 10, nini kilimtokea?Waandishi huwa ndio wapiga kelele kuomba wawe wanapewa ulinzi wa kutosha wanapofanya kazi zao! vifaru kama vipo, vipo kwa kuitikia kilio cha waandishi wa habari cha kupewa ulinzi wa kutosha.Hayo ya kuripoti hayawahusu madereva wa vifaru..Kazi ya dereva wa kifaru kuendesha kifaru na mtangazaji kutangaza.Hamna mgongano hapo.
Kwani Wanaotekwa Na Kufichwa Huko Mafichoni, Wanafanyiwa Hivyo Na Raia Au Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama! Tazama Jinsi Vyombo Hivyo Vinavyopuuzia Matukio Hayo!! Yule Mama Mhandishi Wa DW Alichofanyiwa!!! Hivyo Tuwapotoshe Watanzania Humu, Yale Yale Ya Uganda, Now Yanafanywa Tanzania!!!Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
lini hiyo alikuwa RC?Mtu yeyote ukiona anaogopa askari wakiwa wametanda ni jambazi-by Suleiman kova aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Ni Ritz au account imekuwa hackedUnaweza kuwa unamlaumu bure anaripoti huku pembeni kuna vifaru na defender za FFU unadhani atakuwa na amani.
Ni Henry MabumoSiyo Henry Magumo bali ni HENRY MABUMI