Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Ajabu ni kwamba unaandika mada hii ukiwa Mbeya na hauna mpango wa kuondoka.

Mbeya ina ladha yake na kama hujaipenda unaondoka
Hata wafungwa magereza wanapaona jela pabaya ila hawaondoki.
 
Hamna jiji hapa Tz utaenda ukakosa changamoto za namna hiyo hasa ukiwa mwananchi wa kipato cha kati au chini kama wewe(mwajiriwa).
Hamna tabu utaacha kuona kila mkoa utakao tembelea.

Mbeya ni jiji zuri sana, bahati mbaya wengi huwa wanaenda na picha fulani kichwani mwao na wakifika kule hawaikuti hiyo pale mjini.

Mbeya ni bonge la jiji, bila mbeya Tz haili.
Au nasema uongo mmanyani Poor Brain
Ni kuchanganyikiwa kusema Mbeya ni jiji halafu kusema bila Mbeya Tz haili, majiji sio sehemu ya kufanya kilimo na ufugaji bali ni masoko ya mazao na mifugo.
 
Ukionwa unakula matunda laZima uulizwe kama wafanya diet au.
Mapindigesi unajua ndio yanayoota Mbeya kuliko mkoa mwingine na yanakuwepo tu, unasemaje ukionekana unakula matunda unaulizwa wakati kule matunda yapoyapo tu yaan watu wanafuga hio miti ya matunda ipo tu na wanakula matunda 12 month ahead, unasemaje unaulizwa umeishi Mbeya ipi wewe?
 
Umekaa Tandale kwa Mtogole Buguruni Kwa Mnyamani, halafu unaiponda Mbeya.

Kila mtu wa Dar anajifanya anaishi Posta au Masaki!! Acheni ujinga wenu. Kwanza hamjui ni vigezo gani vinatumika kufanya mahali paitwe Jiji.

Mbeya inajengwa na wananchi wenyewe tofauti na majiji mengine ambayo yanajengwa na Serikali. Mbeya iko kwenye halmashauri 5 zenye uchumi ulio juu hapa nchini, halafu mtu wa Kazuramimba unataka kuiponda Mbeya
Mengi aliyoyasema ni ukweli nimeishi Mbeya nimekaa Mbeya nimesoma Mbeya suala la vumbi sio uongo ni ukweli kabisa ila ndio hali ya mkoa ulivyo na kuna kipindi cha baridi naona hajakigusia kwamba km huba blanket utaeleza vizuri kwanini huna blanket kuna kipindi baridi inapiga mpaka inapiga tena
 
Ni kuchanganyikiwa kusema Mbeya ni jiji halafu kusema bila Mbeya Tz haili, majiji sio sehemu ya kufanya kilimo na ufugaji bali ni masoko ya mazao na mifugo.
Usikalili, Mbeya ni jiji linalolisha nchi.
Bila Mbeya dar wanakufa njaa kesho tu
 
Chips za Mbeya ni sawa na viazi vya kukaanga tu, hazina hadhi ya kuitwa chips.
Kumbe sio peke yangu. Chips za Mbeya hata sio tamu. Sijui wanakaangaje
Tofauti sana na chips za mikoa ya Pwani
 
Nimekaa Mbeya miaka 3 Mara ya kwanza nafika mwenyeji mwangu akanifikishia ilemi nikasema duh huku tena siwez ishi kabisa.
Miaka 3 ikaisha nimepanga ilemi na sikuwa na mpango wa kuhama, nilikuwa narud mida mibovu pqmoja na sifa za ukabaji ila sijawah hata kutishiwa kukaba.
Veta,ituha, isyesye na Iwambi ndio maeneo yaliyosaharibika ila pia ndio maeneo wanaiba sana kuliko ushwahilini.

Palipobaki pamejaa nyumba za tope na vichochoro.
Kuna mtu hapa eti anasema Mbeya na Dar panafanana. Hadi nimeshangaa
Kweli sisi miji yetu yote imepangwa hovyo ila haifanani. Mbeya na Dar ni tofauti mno
Dar ni jiji zuri kimuonekano mara 100 hata ya Mbeya. Kote kuna uswazi ila wa Mbeya mbaya zaidi. Huu ni ukweli ila watu hawataki kukubali
 
Watu wa Mbeya uwa wanahisi Mbeya iko level moja na dar ndio shida yao.
Kwa sisi ambao tunaijua Mbeya na dar Kwa ukaribu.
Dar ushwahilini huwez kuta nyumba ya tope ila Mbeya no sheria, wanasema udongo unasapoti.
 
Mbeya Uswahilini kwa quality ya maisha ni bora sana kuliko Dar. Huwezi kukuta maeneo machafu kama uswahilini Dar.
IMG_3766-768x513.jpg
Mbeya mtu hawezi kuishi mahali kama hapa.
images.jpeg
 
Kuwa za Google na za 2010's inaondoa kuwa za Dar?
Sasa watu tupo 2025 wewe unapost Dar ya 2010? Leta vitu recent tuone kama Dar inafanana na Mbeya
Wewe unadhani miaka 15, Dar imebaki vilevile? Unapost vitu vimepitwa na wakati
Dar inabadilika kwa kasi, Mbeya iko slow kama konokono
 
Unataka kama hizi? Mbeya hamna soko chafu kama hilo. Maisha ya mtu wa uswazi Mbeya ni mazuri kuliko yule wa Dar. Dar kuna uvundo wa kutoka kwenye chemba ambao upo hewani muda wote.

Subpost 2 - Soko la Mabibo (mahakama ya ndizi) linaingizia halmashauri y...jpg
Subpost 1 - Soko la Mabibo (mahakama ya ndizi) linaingizia halmashauri y...jpg
 
Back
Top Bottom