Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Wewe huoni kuwa skyline ya Rome inavutia. Mwenyewe umeleta hapo picha nzuri kabisa na hapo tunaiona architecture haswaa. Hilo ni jiji mkuu, limejengeka ipasavyo
Haya leta za Mbeya sasa
Unajua maana ya skyline? Rome unaweza kuchora skyline yake ikaeleweka?
 
Sio tu Rome hata ya Dar siwezi kuchora, sijasomea uchoraji wa skyline mimi.
Ila naweza kuona mji ambao umejengeka kwa macho, kwa sababu infrastructure zinaonekana kwa macho. Na utofauti mkubwa wa Mbeya ndio upo hapo
Dar haikosi watu na mitaa masikini lakini haiwezi kufanana na Mbeya kamwe kwa sababu Dar kuna amazing architecture, ambayo hata kwa macho tu unaona uzuri wake
Sasa Mbeya inakosa hiyo sifa, Ni jiji sawa lakini ujenzi wake hauvutii
Ndio maana nikakuomba unioneshe sehemu ya Mbeya ambayo ina muonekano mzuri, tuone muonekano wa mazingira ya sehemu mbalimbali za Mbeya
Ila hadi sasa hujaleta, sijui shida nini
 
Sijui nini huelewi hapo
Skyline huwa presented namna hii, hakuna aliyekwambia uchore🤣
LOWER-MANHATTAN-SKYLINE-2809-1100PX-1-500x275.jpg

Sasa ukiweka hii presentation ya skyline ya Dar na Rome, ya Dar itatokea vizuri zaidi. Je Dar ni Jiji na Rome siyo? Je Dar imeendelea kuliko Rome? Au fananisha Dar na Muscat, Oman. Wengi mnaamini maghorofa ndiyo kigezo cha mji kuwa jiji au ishara mji umeendelea.

Niambie, ni vipi vigezo vya mji kuwa jiji?
 
Skyline huwa presented namna hii, hakuna aliyekwambia uchore🤣
View attachment 3492409

Sasa ukiweka hii presentation ya skyline ya Dar na Rome, ya Dar itatokea vizuri zaidi. Je Dar ni Jiji na Rome siyo? Je Dar imeendelea kuliko Rome? Au fananisha Dar na Muscat, Oman. Wengi mnaamini maghorofa ndiyo kigezo cha mji kuwa jiji au ishara mji umeendelea.

Niambie, ni vipi vigezo vya mji kuwa jiji?
Rome na Muscat ni kesi tofauti kabisa. Hii miji haifanani na Mbeya
Leta picha ya Mbeya hapa. Tuone hata kama inafanana na hiyo Muscat
Kwa akili yako Muscat haina maghorofa mengi?
Uzuri wa mji ni pamoja na majengo, haijalishi ni marefu au mafupi, yakijengwa vizuri yanapendeza
Unaogopa kuleta picha za Mbeya kwa sababu hata hayo maghorofa mengi mafupi hayapo. Jiji kubwa lenye uhaba wa wawekezaji
Leta picha za Mbeya hapa tuone mazingira ya maeneo mbalimbali ya Mbeya
Na usinisingizie vitu ambavyo sijaongea, hakuna aliyesema Mbeya sio jiji
Wewe leta picha za Mbeya, mbona za Rome unaleta?
 
So umekubali kuwa maghorofa siyo kigezo cha mji kuwa jiji? Dar mji wa watu 7m huwezi kuufananisha na Mbeya ya watu 0.5m. Ila ukweli unabaki pale pale. Watu wa uswazi Mbeya wanamaisha mazuri kuliko wa uswazi Dar. Mbeya ukiishi kwenye vibanda kama hivi watajua mgonjwa wa akili. Ila Dar watu mnaishi!!!
thumb_2246_800x420_0_0_auto.jpg
 
So umekubali kuwa maghorofa siyo kigezo cha mji kuwa jiji? Dar mji wa watu 7m huwezi kuufananisha na Mbeya ya watu 0.5m. Ila ukweli unabaki pale pale. Watu wa uswazi Mbeya wanamaisha mazuri kuliko wa uswazi Dar. Mbeya ukiishi kwenye vibanda kama hivi watajua mgonjwa wa akili. Ila Dar watu mnaishi!!!
View attachment 3492413
Mbeya
Screenshot_2025-10-23-16-31-06-438_com.facebook.katana.png

Muscat, Oman
life_in_muscat_oman.jpg
 
Na yote ni majiji! Umeona, majiji siyo maghorofa kama unavyodhani. Ukiangalia maghorofa utasema Muscat, na Dar, na Rome siyo majiji ila Shenzen na Shanghai ndiyo majiji.
Unapenda kubadilisha mada mkuu. Hakuna aliyesema Mbeya sio jiji. Tatizo hujiamini na Mbeya yako, hamna aliyesema Mbeya sio jiji. Najua MBEYA NI JIJI, usibadilishe maneno yangu
Ninachosema ni kwamba Mbeya inakosa maeneo ya kuvutia
Muscat na Rome zina maghorofa mengi hata kama ni mafupi lakini ukiangalia oblique view yanavutia
Mbeya hakuna maeneo kama hayo, labda Uhindini pekee, na hata Uhindini kwenyewe pa kawaida sana, panazidiwa hadi na Moshi. Hii ndio sababu nasema hata kama Tanzania nzima ina umasikini, ila Dar na Mbeya ni tofauti sana
Dar ina maeneo mengi mazuri
 
We ndiyo unabadilisha mada. Ubishi wetu ni kuwa watu wa uswazi Mbeya wana Maisha mazuri kuliko wa Dar. Ukaanza kuleta picha za Skyline ya Dar.

Turudi kwenye mada. Mbeya huwezi kuta watu wanaishi kwenye mabanda kama haya.
IMG-20231103-WA0028.jpg
 
Oya,uko sahihi kabisa..hilo limkoa la kishamba sana.wanawake wa huko hata kukarangiza misosomolo hawajui.
 
Huu ni uongo labda unazolalaga wewe kulingana na kipato chako ila hotel na guest nyingi za Mbeya ni nzuri.

Kuhusu madem, hapa unaniandikoa kufurahisha genge bro ila kiukweli Mbeya kuna pisi kali sana bro.

Tujitahidi kuwa wakweli kwenye baadhi ya issue bro sio kukandia tu.
Nimetembeza pumb.u sana kwa mademu wa hapo mitaa ya magorofani.
 
We ndiyo unabadilisha mada. Ubishi wetu ni kuwa watu wa uswazi Mbeya wana Maisha mazuri kuliko wa Dar. Ukaanza kuleta picha za Skyline ya Dar.

Turudi kwenye mada. Mbeya huwezi kuta watu wanaishi kwenye mabanda kama haya.
View attachment 3492428
Hata ukirudi huko bado tu Mbeya uswazi ni mbaya zaidi. Sasa kwa kuwa umekubali kuwa Mbeya ina mwonekano mbaya ukifananisha na Dar nadhani unaweza kuelewa kwa nini nasema Mbeya na Dar hazifanani

Tukija kwenye makazi, tofauti ya Dar na Mbeya ipo hivi; Dar ina maeneo mengi ya uswazi, na nimezunguka mara nyingi sana mitaa mbalimbali hapo Dar nimeona uswazi wa kutosha ila kamwe sijawahi kukutana na watu wanaoishi kwenye mabanda hayo unayopost, which means kama yapo basi ni nadra mno kuyakuta, very rare
Na kuna uwezekano hata hayo mabati unayopost ni maeneo ya biashara tu, watu wanaenda kujitafutia riziki mchana, kisha wanarudi makwao
Lakini Mbeya hauna haja ya kutafuta nyumba za matope. Yani ndo zimezagaa kuanzia Ilomba, Mwanjelwa, Mabatini, Soweto, Kalobe, Nzovwe, Ikuti yote hii hadi Inyala. Mbalizi japo sio jijini ila nako ukienda hali ni mbaya zaidi.
Mbeya ni easy sana kuspot hizo nyumba mbaya.
Asilimia kubwa ya uswazi Dar nyumba zao ni za matofali zile bricks kabisa (tumezoea kuita matofali ya block), lakini Mbeya ni matofali ambayo ni kama tope tu, wamechonga wakagandisha. Huwa hadi yanaota nyasi katikati kwenye tope linalounganisha tofali moja na lingine, kwa sababu lile ni tope tu bado lina rutuba.
Niwe mkweli, hata Mbagala ina nyumba nzuri kuliko nyumba nyingi hapo Mbeya
 
Haizo nyumba siyo za matope. Zinaitwa adobe bricks. Zipo hadi zenye miaka 100 hapo.
 
Nimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina fujo, highway hakuna sheria zinafuatwa, vumbi kama lote. Utapata mtu kapendeza town, ila chini ana soksi, jinsi vumbi linakera!

Ukija kwenye biashara, hawa watu hawana habari na customer service, utachoka wewe mteja....wahehe wanasema 'sindimgaya sida'...vifungashio vyao utalia. Yaani wanafanyia biashara kimaskini, imagine mfuko ulioisha diapers, mama muuza matunda anakupa ndo uwekee matunda. Usiponunua mfuko wako, utalishwa uchafu ufurahi.

Mbeya panasifika Kwa vyakula vingi, ila nimechoka mwili na roho kwasababu menu zao ni ugali na wali kila siku, hapo utawekewa na chainizi, maharage na nyama(nilitafuta mtori, nikaambiwa huku ukipika mtori hakuna wa kununua, ndizi za kupikwa pia siyo kitu utakikuta sana sehemu za vyakula). Au uende sehemu za kitimoto, manake huku mdudu amejaa kila Kona au ule chips na zile nyama choma zao. Kupata matunda yaliyokatwa ni shidaaaaa, nasema ni shida. Ukitaka kula varieties lazima jasho likutoke. Nikaja kuelewa kwanini wakazi wengi wa hili likijiji wanamaumbo ambayo huwezi jua kiuno Kiko wapi, matumbo yao yamejaa wanga hatari, swala la balance diet kwao ni ndoto. Ukionwa unakula matunda laZima uulizwe kama wafanya diet au. Wako na ushamba fulani hivi wakazi wa huku, kwanini Mbeya ni Jiji? Aibu naona mimi.

Mbeya katikati ya mji Ile mitaa ya Mwanjelwa Kuna watu wanapika chips kwa kutumia kuni, basi Moshi unasambaa maduka ya jirani hadi siyo poa, na Watanzania tunajua kuvumiliana, basi majirani wanavumilia. Sehemu imejaa Moshi, unakaaje hata ule chakula? Na kwamba hakuna kiongozi anayeona hiyo shida? Katikati ya mji kabisa?

Hapo sijagusia miundombinu, mipango ya mitaa, majengo yao, ni fujo TU. Halafu vijana wengi wa rika fulani hawaogi, wote wananuka harufu hiyo hiyo....wanaogopa maji hatari. Wakija kupata huduma ofisini unatamani umwambie Kaa kwanza pembeni nitakuhudumia ukiwa umekaa ili Ile harufu yake isijae kwenye dirisha lako.

Kuna mtaa street lights zinawaka kwa sensor, Kuna muda sensor zinafanya kazi, Kuna muda hazifanyi. Usiku wa Giza kabisa taa inawaka sekunde mbili inajizima. Kweli aliyefunga hizi taa ni mzima kabisa?

Baada ya kusema haya, na kwa mpangilio mbovu, niseme TU, Watanzania tunasafari ndefu ya kuishi kwa ustaarabu kwenye miji yetu. Uchafu kila sehemu, noise pollution ndo usiseme, hard waste zimetapakaa kila sehemu. Hatuoni shida?
Am out.
Aliyeamua Mbeya liwe Jiji alikuwa kalewa, mji mchafu na wa ovyo mno, mara 100 Iringa
 
Kwani Dar es Salaam yote ina hadhi? Umewahi kutembea Buguruni Kwa Mnyamani, Vingunguti, Kiwalani, Kariagogo, Kinondoni Shamba, Tandale Kwa Mtogole.

Kama upo serious na mjadala nitajie na wewe unatoka Jiji/ Mji gani hapa Tz nami nikutajie maeneo yasiyo na hadhi kwenye mji wako
Shida ya Mbeya ni mji wote hauna hadhi
 
Shida ya Mbeya ni mji wote hauna hadhi
Naomba na wewe tutajie unatoka mji gani hapa Tanzania halafu tulinganishe. Nyie mabwege mnatoka huko mashenzini tu na kazi yenu kuiponda Mbeya
 
Mengi aliyoyasema ni ukweli nimeishi Mbeya nimekaa Mbeya nimesoma Mbeya suala la vumbi sio uongo ni ukweli kabisa ila ndio hali ya mkoa ulivyo na kuna kipindi cha baridi naona hajakigusia kwamba km huba blanket utaeleza vizuri kwanini huna blanket kuna kipindi baridi inapiga mpaka inapiga tena
Hivi unathubutu kujiita unesoma kweli? Sasa ulitaka watu wa Mbeya wazuie vumbi lisitimke? Au watengeneze heater kuzuia baridi?

Pumbavu sana
 
Nimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina fujo, highway hakuna sheria zinafuatwa, vumbi kama lote. Utapata mtu kapendeza town, ila chini ana soksi, jinsi vumbi linakera!

Ukija kwenye biashara, hawa watu hawana habari na customer service, utachoka wewe mteja....wahehe wanasema 'sindimgaya sida'...vifungashio vyao utalia. Yaani wanafanyia biashara kimaskini, imagine mfuko ulioisha diapers, mama muuza matunda anakupa ndo uwekee matunda. Usiponunua mfuko wako, utalishwa uchafu ufurahi.

Mbeya panasifika Kwa vyakula vingi, ila nimechoka mwili na roho kwasababu menu zao ni ugali na wali kila siku, hapo utawekewa na chainizi, maharage na nyama(nilitafuta mtori, nikaambiwa huku ukipika mtori hakuna wa kununua, ndizi za kupikwa pia siyo kitu utakikuta sana sehemu za vyakula). Au uende sehemu za kitimoto, manake huku mdudu amejaa kila Kona au ule chips na zile nyama choma zao. Kupata matunda yaliyokatwa ni shidaaaaa, nasema ni shida. Ukitaka kula varieties lazima jasho likutoke. Nikaja kuelewa kwanini wakazi wengi wa hili likijiji wanamaumbo ambayo huwezi jua kiuno Kiko wapi, matumbo yao yamejaa wanga hatari, swala la balance diet kwao ni ndoto. Ukionwa unakula matunda laZima uulizwe kama wafanya diet au. Wako na ushamba fulani hivi wakazi wa huku, kwanini Mbeya ni Jiji? Aibu naona mimi.

Mbeya katikati ya mji Ile mitaa ya Mwanjelwa Kuna watu wanapika chips kwa kutumia kuni, basi Moshi unasambaa maduka ya jirani hadi siyo poa, na Watanzania tunajua kuvumiliana, basi majirani wanavumilia. Sehemu imejaa Moshi, unakaaje hata ule chakula? Na kwamba hakuna kiongozi anayeona hiyo shida? Katikati ya mji kabisa?

Hapo sijagusia miundombinu, mipango ya mitaa, majengo yao, ni fujo TU. Halafu vijana wengi wa rika fulani hawaogi, wote wananuka harufu hiyo hiyo....wanaogopa maji hatari. Wakija kupata huduma ofisini unatamani umwambie Kaa kwanza pembeni nitakuhudumia ukiwa umekaa ili Ile harufu yake isijae kwenye dirisha lako.

Kuna mtaa street lights zinawaka kwa sensor, Kuna muda sensor zinafanya kazi, Kuna muda hazifanyi. Usiku wa Giza kabisa taa inawaka sekunde mbili inajizima. Kweli aliyefunga hizi taa ni mzima kabisa?

Baada ya kusema haya, na kwa mpangilio mbovu, niseme TU, Watanzania tunasafari ndefu ya kuishi kwa ustaarabu kwenye miji yetu. Uchafu kila sehemu, noise pollution ndo usiseme, hard waste zimetapakaa kila sehemu. Hatuoni shida?
Am out.
Chai
 
Back
Top Bottom