ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,338
- 15,067
Mbeya kijiji chenye mashamba ya mpunga na migomba hakina airport.Soma hapa bwege !!
View attachment 3490780
Mbeya kijiji chenye mashamba ya mpunga na migomba hakina airport.Soma hapa bwege !!
View attachment 3490780
😅😀 huyu amekandia tu wakina tununu wanao tena mzuri tu mbonaHamna hata viwanja vidogo? 😂
We nae si wale wale kina Atupilike, Kwani uwanja upo mkoa wa Songwe au mkoa wa Mbeya?😅😀 huyu amekandia tu wakina tununu wanao tena mzuri tu mbona
😅😅 hebu nitoe kwanza mimi siyo wa huko, 😀anyway kwa sahivi unaonesha upo mkoa wa Songwe nilikuwa najaribu kuwatetea wakina tununuWe nae si wale wale kina Atupilike, Kwani uwanja upo mkoa wa Songwe au mkoa wa Mbeya?
Kumbe mtoa mada yupo sahihiupo mkoa wa Songwe
😀😀 kwa kiasi chakeKumbe mtoa mada yupo sahihi
Was mbususu ya mama yake necessary mkuu? His mama could be yo mama too. Let's respect our moms and show civility! 🙏🏿ndio maana nasema songwe airport ipo kwenye mbususu ya mama yako mpaka upo mto songwe pale
Mzee wa Ligi, umevaa visando na soksi nyeupe unatafuta ligi kwa keyboard yako. Haya sema hotel gani Mbeya unaikubali wewe na umewah kulala achana kuangalia kwa nje. Mimi zote unazoziona nazijua zingine reception/mapokezi pazuri kweli pana nafasi ya kutosha ila ukiingia chumban huwezi kugeuka.Huu ni uongo labda unazolalaga wewe kulingana na kipato chako ila hotel na guest nyingi za Mbeya ni nzuri.
Kuhusu madem, hapa unaniandikoa kufurahisha genge bro ila kiukweli Mbeya kuna pisi kali sana bro.
Tujitahidi kuwa wakweli kwenye baadhi ya issue bro sio kukandia tu.
Unawajua wazee wa "jiji halina coffee shop na cinema " 😁😁Mwanza??? Itakuwa alifikia pembeni huko huyo😁😁😁
Kuna watu wana mindset hizo mkuuKwamba Dar uswekeni ni bora zaidi ya maeneo yote nchini?
Mi siwajui huku kwetu hivyo vipo😂Unawajua wazee wa "jiji halina coffee shop na cinema " 😁😁