Nimecheka hapoUmekosoa kila kitu mzee, vipi hujaona kitu chochote kizuri kule home.
"Ngafi jha ghuso"
Ngalele 😁Nimecheka hapo
"NGAFI JHA GHUSO" 😂😂
Siku hizi bondeni siyo Chunya tena, Mto Songwe unamwaga maji Ziwa RukwaSongwe Airport iko Mbeya. Mkoa wa Songwe hauna Airport bali wanatumia Airport iliyoko Mbeya.
Asili ya jina Songwe ni mto unaoanzia bonde la Songwe lililoko wilaya ya Chunya, mto unapita mpakani mwa Mbeya na wilaya ya Mbozi kisha unakwenda wilaya ya Ileje na kumwaga maji ziwa Nyassa
Mto Songwe unamwaga maji ziwa Nyasa, na ndio hufanya sehemu ya mpaka kati ya Malawi na TZ kwa pande za ileje.Siku hizi bondeni siyo Chunya tena, Mto Songwe unamwaga maji Ziwa Rukwa
Mito Songwe iko miwili. Wa ziwa Rukwa na Ziwa Nyasa.Mto Songwe unamwaga maji ziwa Nyasa, na ndio hufanya sehemu ya mpaka kati ya Malawi na TZ kwa pande za ileje.
Watu wanachanganya mambo. Mtu anasikia ziwa Rukwa basi ukimwambia ziwa hilo liko pia upande wa Songwe (zamani sehemu ya Chunya) anakubishia. Hawa ni wale wanaoweza fikiri kuwa ziwa Nyasa lote liko wilaya ya Nyasa.
Kuna Songwe mkoa ambao una wilaya za Songwe, Momba, Mbozi na ileje.
Kuna mto Songwe ambao unaanzia milima ya uporoto huko Mbeya.
Kuna gereza la Songwe na Songwe airport hivi vyote vipo Mbeya.
Napenda ukweli tu and I don't care whether Mbeya is a city or a village.
Mito Songwe iko miwili. Wa ziwa Rukwa na Ziwa Nyasa.
Was mbususu ya mama yake necessary mkuu? His mama could be yo mama too. Let's respect our moms and show civility!
Songwe Airport ipo MbeyaKumbe mtoa mada yupo sahihi
Ila uswazi wa Dar ni bora kuliko Mbeya. Uswazi wa Mbeya nyumba zao, yale matofali ni kama tu matope wakayachonga wakayagandisha, uswazi mzima wa kijivu 😂😂Unakaa dar halafu unaishi sijui tandale sijui manzese
Sasa wewe unaishi au au unasukuma siku tu??
Si bora aliyepo mbeya yeye anaishi maisha mazuri kuliko nyie wa kudandia mwendokasi madirishani
Mkuu Mbeya ndio iko hivyo. Hata mimi mara ya kwanza kuja nilishangaa sana. Ila ukikaa kwa muda unapazoea. Nahisi ndio binadamu tumeumbwa hivyoNimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina fujo, highway hakuna sheria zinafuatwa, vumbi kama lote. Utapata mtu kapendeza town, ila chini ana soksi, jinsi vumbi linakera!
Ukija kwenye biashara, hawa watu hawana habari na customer service, utachoka wewe mteja....wahehe wanasema 'sindimgaya sida'...vifungashio vyao utalia. Yaani wanafanyia biashara kimaskini, imagine mfuko ulioisha diapers, mama muuza matunda anakupa ndo uwekee matunda. Usiponunua mfuko wako, utalishwa uchafu ufurahi.
Mbeya panasifika Kwa vyakula vingi, ila nimechoka mwili na roho kwasababu menu zao ni ugali na wali kila siku, hapo utawekewa na chainizi, maharage na nyama(nilitafuta mtori, nikaambiwa huku ukipika mtori hakuna wa kununua, ndizi za kupikwa pia siyo kitu utakikuta sana sehemu za vyakula). Au uende sehemu za kitimoto, manake huku mdudu amejaa kila Kona au ule chips na zile nyama choma zao. Kupata matunda yaliyokatwa ni shidaaaaa, nasema ni shida. Ukitaka kula varieties lazima jasho likutoke. Nikaja kuelewa kwanini wakazi wengi wa hili likijiji wanamaumbo ambayo huwezi jua kiuno Kiko wapi, matumbo yao yamejaa wanga hatari, swala la balance diet kwao ni ndoto. Ukionwa unakula matunda laZima uulizwe kama wafanya diet au. Wako na ushamba fulani hivi wakazi wa huku, kwanini Mbeya ni Jiji? Aibu naona mimi.
Mbeya katikati ya mji Ile mitaa ya Mwanjelwa Kuna watu wanapika chips kwa kutumia kuni, basi Moshi unasambaa maduka ya jirani hadi siyo poa, na Watanzania tunajua kuvumiliana, basi majirani wanavumilia. Sehemu imejaa Moshi, unakaaje hata ule chakula? Na kwamba hakuna kiongozi anayeona hiyo shida? Katikati ya mji kabisa?
Hapo sijagusia miundombinu, mipango ya mitaa, majengo yao, ni fujo TU. Halafu vijana wengi wa rika fulani hawaogi, wote wananuka harufu hiyo hiyo....wanaogopa maji hatari. Wakija kupata huduma ofisini unatamani umwambie Kaa kwanza pembeni nitakuhudumia ukiwa umekaa ili Ile harufu yake isijae kwenye dirisha lako.
Kuna mtaa street lights zinawaka kwa sensor, Kuna muda sensor zinafanya kazi, Kuna muda hazifanyi. Usiku wa Giza kabisa taa inawaka sekunde mbili inajizima. Kweli aliyefunga hizi taa ni mzima kabisa?
Baada ya kusema haya, na kwa mpangilio mbovu, niseme TU, Watanzania tunasafari ndefu ya kuishi kwa ustaarabu kwenye miji yetu. Uchafu kila sehemu, noise pollution ndo usiseme, hard waste zimetapakaa kila sehemu. Hatuoni shida?
Am out.
Mkuu huwenda ikawa huijui Mwanza na hujawahi fika hivyo unahadithiwa tu. Embu muwe mnatenga bajeti ya kutembea nchi hii hata mara moja kwa mwaka. Tatizo lenu mnaulimbukeni wa kutaka kila jiji lifanane na Dar, kumbuka kila jiji lina upekee wake. For me Mwanza is the best city than all city kulingana na vigezo kama hali ya hewa, geographical location, gharama za maisha, transport, muonekano wake na accessibility kati ya eneo na eneo within a city is very simple. Unaweza kuta mtu anaishi Mbagala Dar au vingunguti kisha anata kujifananisha na mtu anayeisha Katoro Geita.Mwanza, Dodoma, Mbeya, Arusha hivyo vyote ni vijiji vilivyo changamka tu.
Jiji Dar pekee tena la hovyo tu.
Mwanza napajua nimekuwa hapo Mara kadhaa.Mkuu huwenda ikawa huijui Mwanza na hujawahi fika hivyo unahadithiwa tu. Embu muwe mnatenga bajeti ya kutembea nchi hii hata mara moja kwa mwaka. Tatizo lenu mnaulimbukeni wa kutaka kila jiji lifanane na Dar, kumbuka kila jiji lina upekee wake. For me Mwanza is the best city than all city kulingana na vigezo kama hali ya hewa, geographical location, gharama za maisha, transport, muonekano wake na accessibility kati ya eneo na eneo within a city is very simple. Unaweza kuta mtu anaishi Mbagala Dar au vingunguti kisha anata kujifananisha na mtu anayeisha Katoro Geita.