Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Wakili wa shetani
Hapa ni Mwanjelwa, yani ni sehemu main ya biashara hapa Mbeya, kama ilivyo Kariakoo kwa Dar lakini angalia palivyo.
Tatizo la Mbeya hadi yale maeneo main ni slums tupu. Sasa kama Mwanjelwa pako hivi si ni bora hata Iringa.
Hata Nairobi ina slum ya Kibera, mbaya kuliko hizo za Mbeya lakini ni mji unaoheshimika kwa sababu una maeneo mengine mengi mazuri
Mbeya ina slums halafu hayo maeneo mazuri hakuna.
Screenshot_2025-10-23-14-54-29-161_com.android.chrome.png
 
Mtu anayepandia gari dirishani utasemaje ana miundombinu mizuri?
Hiyo ni overpopulation tu, na tayari imekuwa solved, sasahivi watu hawapandi madirishani
Ila vipi kuhusu Mbeya, wanavyojazana kwenye bajaji hadi unashindwa kupumua
 
Hiyo ni overpopulation tu, na tayari imekuwa solved, sasahivi watu hawapandi madirishani
Ila vipi kuhusu Mbeya, wanavyojazana kwenye bajaji hadi unashindwa kupumua
Miundombinu inatakiwa kuendana na population. Kama haiendani ni tatizo. Ishu ya hadi wanawake kupandia madirishani haiishi leo huko. Umewahi experience usafiri wa Mbeya? Una staha kuliko mwendokasi.
 
Miundombinu inatakiwa kuendana na population. Kama haiendani ni tatizo. Ishu ya hadi wanawake kupandia madirishani haiishi leo huko. Umewahi experience usafiri wa Mbeya? Una staha kuliko mwendokasi.
Umeangalia jinsi mambo yanavyoenda na mwendokasi, baada ya wananchi kulalamika na kuletewa magari mapya?
Kwa point yako hata ukipanda usafiri wa Simiyu hakuna karaha, kwa hiyo Simiyu imeendelea kimiundombinu kuliko Dar
 
Kama mtu wa Simiyu anapanda gari kwa starehe. Anaingilia mlangoni na habananishwi kama mfugo basi yuko well off kuliko wa Dar. Kama haishi katikati ya rundo la taka na majitaka na uvundo basi anamaisha mazuri. Kuwa karibu na maghorofa na mahoteli hakukufanyi uwe na maisha bora.
 
Long story short. Nitajie maeneo ya Mbeya yenye muonekano wa jiji
 
TZ nzima ipo hivyo. Ni wapi nchi hiyo ni pasafi, watu wanafuata sheria, kuna mpangilio, hakuna noise pollution, kuna umeme na maji ya uhakika, public transport nzuri nk? Kiufupi umeielezea TZ nzima. Yes, Mbeya ni kijiji kikubwa but so is the rest of TZ. Shida za Dar nazo usiseme. Tulio mbele huko tutarudi kusalimia tu labda na kuzikwa kama nikiamua kuuchosha mwili ukitengana na roho or else tutabaki mbele. Wengine ndoto zetu ni kubwa kuliko hicho kijiji cha TZ kisicho na mbele wala nyuma.
 
TZ nzima ipo hivyo. Ni wapi bongo hiyo ni pasafi, watu wanafuata sheria, kuna mpangilio, hakuna noise pollution nk? Kiufupi umeielezea TZ nzima. Yes, Mbeya ni kijiji kikubwa but so is the rest of TZ. Shida za Dar nazo usiseme. Tulio mbele huko tutarudi kusalimia tu labda na kuzikwa kama nikiamua kuuchosha mwili ukiacha roho or else tutabaki mbele. Wengine ndoto zetu ni kubwa kuliko hicho kijiji cha TZ kisicho na mbele wala nyuma.
Dar ni bora kuliko Mbeya. Kama tu ilivyo Los Angeles ni bora kuliko Dar
Na Los Angeles kuna homeless people wengi pia. Lakini hiyo haifanyi pafanane na Dar
 
Wadanganye wasiojua.

Acha ubishi wa kifala. Songwe Airport ipo ndani ya mkoa wa Mbeya. Hilo jina liliwahi kujadiliwa bungeni kubadilishwa ila wakaamua libaki hivyo hivyo.

Songwe Airport (ICAO: HTGW), usually referred to in flight schedules as Mbeya (using the "MBI" IATA code from the unpaved Mbeya Airport), is an airport located in the southern highland region of Mbeya Region, Tanzania, serving the city of Mbeya.
 
Dar ni bora kuliko Mbeya. Kama tu ilivyo Los Angeles ni bora kuliko Dar
Na Los Angeles kuna homeless people wengi pia. Lakini hiyo haifanyi pafanane na Dar

Hakuna sehemu nimesema panafanana bali nimesema TZ nzima ni kijiji kikubwa. Mtu timamu atajua TZ nzima ni kijiji tofauti majina tu.

Nimeuliza ni wapi nchi hiyo ni pasafi, watu wanafuata sheria, kuna mpangilio, hakuna noise pollution, kuna umeme na maji ya uhakika, public transport nzuri nk? Nipe sehemu moja tu. Ukipata jibu utaelewa TZ nzima ni utopolo.
 
Hakuna sehemu iliyo perfect hivyo Tanzania ila zinazidiana viwango
 
Back
Top Bottom