Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Mimi naonaga Dar ndio ya aj
U,just imagine watu wanashindia utumbo na Mji unanuka Kila mahala.

Kariakoo kumejaa uchafu Kila sehemu Sasa sijajua huo u speaho wa Dar inayoongoza Kwa mabanda ni upi.
Dar ina karaha za kiujumla ila kuna karaha ukiwa na pesa huzipati.

Kwa hiyo inategemea kipato cha mtu na eneo unapoishi. Ila generally kuna maeneo mengi mazuri ya khushi tz kuliko dar
 
Dar ina karaha za kiujumla ila kuna karaha ukiwa na pesa huzipati.

Kwa hiyo inategemea kipato cha mtu na eneo unapoishi. Ila generally kuna maeneo mengi mazuri ya khushi tz kuliko dar
Karaha ni nyingi kuliko raha
 
Tanzania Jiji ni Dar, Mwanza kidogo na Arusha. Kwingine huko ni status ya jiji lln uhalisia ni Vijiji tu.

Umenjchekesha kitu, kwamba mtu anaweka taa za kusense usiku, Sijui wana opt kuserve umeme au nn
Tanzania majiji ni Dar na Mwanza lakini Tanzania binadamu waliostarabika kuishi mjini wako manispaa ya Moshi. Manispaa ya moshi ni wasafi, binadamu tunatakiwa tuishi hivyo kijamii. Majiji mengine yakiongozwa na Dar ni machafu mijitu inakojoa hovyo kama mifugo, hawana ustaarabu wa kutupa takataka, jitu linatupa chupa, maganda au mabaki ya vyakula hovyo halafu nalo utakuta likombele kulaumu serikali kuhusu taka. usafi wa mtu mmojammoja unasaidia kuleta hewa safi na mazingira mazuri katika miji. Sema inashangaza inakuwaje wachaga hawapeleki mentality ya usafi sehemu wanazoishi nje ya moshi maana huko kwingine wanakoishi ni wachafu kama watanzania wengine.
 
Back
Top Bottom