Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

Halafu vijana wengi wa rika fulani hawaogi, wote wananuka harufu hiyo hiyo....wanaogopa maji hatari. Wakija kupata huduma ofisini unatamani umwambie Kaa kwanza pembeni nitakuhudumia ukiwa umekaa ili Ile harufu yake isijae kwenye dirisha lako.
Umekosoa kila kitu mzee, vipi hujaona kitu chochote kizuri kule home.

"Ngafi jha ghuso"
 
Nenda kanywe sumu ujiue. Mbeya litaendelea kuwa Jiji lililojuu nchini hapa. Kama hujui vigezo vya TAMISEMI wanavyo promote kutoka kitongoji kuja mji mdogo, mji, manispaaa hadi Jiji basi huna hadhi ya kushiriki huu mjadala
Kwamba vigezo vya TAMISEMI ni vigezo vya kimataifa! Tuseme ukweli, tunavumiliana tu na hizo standards za TAMISEMI...Mbeya ain't shit. Ni mvurugano TU. Sehemu chache sana Zina Hadhi. Kote walikoachiwa wananchi wafanye wenyewe ni patashika.
 
Wadanganye wasiojua.
Soma hapa bwege !!
Screenshot_20251019_180521_Google.jpg
 
Kwamba vigezo vya TAMISEMI ni vigezo vya kimataifa! Tuseme ukweli, tunavumiliana tu na hizo standards za TAMISEMI...Mbeya ain't shit. Ni mvurugano TU. Sehemu chache sana Zina Hadhi. Kote walikoachiwa wananchi wafanye wenyewe ni patashika.
Kwani Dar es Salaam yote ina hadhi? Umewahi kutembea Buguruni Kwa Mnyamani, Vingunguti, Kiwalani, Kariagogo, Kinondoni Shamba, Tandale Kwa Mtogole.

Kama upo serious na mjadala nitajie na wewe unatoka Jiji/ Mji gani hapa Tz nami nikutajie maeneo yasiyo na hadhi kwenye mji wako
 
Reinforced....

Umekosoa kila kitu mzee, vipi hujaona kitu chochote kizuri kule home.

"Ngafi jha ghuso"
Ukitembea mitaa yenye miti kama kwa mkuu wa mkoa, unasikia harufu nzuri ya mikaratusi. Ukifika Kabwe, network inakata kwa fujo. Shida vitu vibaya vinafunika
Kwani Dar es Salaam yote ina hadhi? Umewahi kutembea Buguruni Kwa Mnyamani, Vingunguti, Kiwalani, Kariagogo, Kinondoni Shamba, Tandale Kwa Mtogole.

Kama upo serious na mjadala nitajie na wewe unatoka Jiji/ Mji gani hapa Tz nami nikutajie maeneo yasiyo na hadhi kwenye mji wako
Umecatch feelings...hata Dar ain't shit kwa vigezo vya kimataifa. Nimekwambia Tanzania tunavumiliana tu. Kila kitu hatupo serious, kila kitu ni mchongo, hata tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni tunaenda kwa Neema za Yesu. Natokea Tanzania, haitabadilisha ukweli kuwa Mbeya inakuzwa na hakuna kitu.
 
Ukitembea mitaa yenye miti kama kwa mkuu wa mkoa, unasikia harufu nzuri ya mikaratusi. Ukifika Kabwe, network inakata kwa fujo. Shida vitu vibaya vinafunika

Umecatch feelings...hata Dar ain't shit kwa vigezo vya kimataifa. Nimekwambia Tanzania tunavumiliana tu. Kila kitu hatupo serious, kila kitu ni mchongo, hata tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni tunaenda kwa Neema za Yesu. Natokea Tanzania, haitabadilisha ukweli kuwa Mbeya inakuzwa na hakuna kitu.
Acha kuponda majiji ya wenzio mtoto wa malaya usiyejuwa baba yako. Sema wewe unatokea wapi tukutajie mashenzini kwenu.

Nani kakuambia New York haina maeneo ya poor people??
 
Back
Top Bottom