Unaongea hayo baada ya Mbeya kugawanywa kuwa Mbeya na SongweMbeya ndilo Jiji pekee Duniani lisilokuwa na Airport. Mbeya ni Kijiji kilichoumuka.
Watu hupenda kukosoa hasa vile ambavyo wanakotokea havipo. Mazuri hawayasemi.Umekosoa kila kitu mzee, vipi hujaona kitu chochote kizuri kule home.
"Ngafi jha ghuso"
Na hata baada ya kugawanywa bado Mbeya inayo airportUnaongea hayo baada ya Mbeya kugawanywa kuwa Mbeya na Songwe
Bottomline ni kwamba nyumba hizo zimejengwa miaka ya 1940-60 na bado ziko imara.Ila uswazi wa Dar ni bora kuliko Mbeya. Uswazi wa Mbeya nyumba zao, yale matofali ni kama tu matope wakayachonga wakayagandisha, uswazi mzima wa kijivu 😂😂
Kuna nyumba Mbeya hadi ukuta unajaa nyasi maana wamejengea udongo ambao bado una rutuba
Hata dar ni maeneo tu machache ambayo yana hadhi ya kuitwa jiji sehemu kubwa hata asilimia 85 ni upumbavu tu😂 Dah kudadeki
Ila kwa hapa bongo, ni Dar tuu ndo utasema ni jiji ila mikoa yote inayobaki inatofautiana padogo mno, Mbeya ndo kabisa haipaswi kuwa hata mkoa.
Miji Tanzania inafanana tu majiji yote ni vijiji vikubwa hata dar ni maeneo tu machache yana hadhi ya jiji eneo kubwa ni takataka tu labda kama hujasafiri nchi za watu!....hebu taja jiji moja bongo hapa ambalo wewe unaona lina hadhi ya kuwa jiji!!...nchi yote takataka tupu!...Dar yenyewe ikinyesha mvua nusu saa tu mavi yanatapakaa mji mzimaNimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina fujo, highway hakuna sheria zinafuatwa, vumbi kama lote. Utapata mtu kapendeza town, ila chini ana soksi, jinsi vumbi linakera!
Ukija kwenye biashara, hawa watu hawana habari na customer service, utachoka wewe mteja....wahehe wanasema 'sindimgaya sida'...vifungashio vyao utalia. Yaani wanafanyia biashara kimaskini, imagine mfuko ulioisha diapers, mama muuza matunda anakupa ndo uwekee matunda. Usiponunua mfuko wako, utalishwa uchafu ufurahi.
Mbeya panasifika Kwa vyakula vingi, ila nimechoka mwili na roho kwasababu menu zao ni ugali na wali kila siku, hapo utawekewa na chainizi, maharage na nyama(nilitafuta mtori, nikaambiwa huku ukipika mtori hakuna wa kununua, ndizi za kupikwa pia siyo kitu utakikuta sana sehemu za vyakula). Au uende sehemu za kitimoto, manake huku mdudu amejaa kila Kona au ule chips na zile nyama choma zao. Kupata matunda yaliyokatwa ni shidaaaaa, nasema ni shida. Ukitaka kula varieties lazima jasho likutoke. Nikaja kuelewa kwanini wakazi wengi wa hili likijiji wanamaumbo ambayo huwezi jua kiuno Kiko wapi, matumbo yao yamejaa wanga hatari, swala la balance diet kwao ni ndoto. Ukionwa unakula matunda laZima uulizwe kama wafanya diet au. Wako na ushamba fulani hivi wakazi wa huku, kwanini Mbeya ni Jiji? Aibu naona mimi.
Mbeya katikati ya mji Ile mitaa ya Mwanjelwa Kuna watu wanapika chips kwa kutumia kuni, basi Moshi unasambaa maduka ya jirani hadi siyo poa, na Watanzania tunajua kuvumiliana, basi majirani wanavumilia. Sehemu imejaa Moshi, unakaaje hata ule chakula? Na kwamba hakuna kiongozi anayeona hiyo shida? Katikati ya mji kabisa?
Hapo sijagusia miundombinu, mipango ya mitaa, majengo yao, ni fujo TU. Halafu vijana wengi wa rika fulani hawaogi, wote wananuka harufu hiyo hiyo....wanaogopa maji hatari. Wakija kupata huduma ofisini unatamani umwambie Kaa kwanza pembeni nitakuhudumia ukiwa umekaa ili Ile harufu yake isijae kwenye dirisha lako.
Kuna mtaa street lights zinawaka kwa sensor, Kuna muda sensor zinafanya kazi, Kuna muda hazifanyi. Usiku wa Giza kabisa taa inawaka sekunde mbili inajizima. Kweli aliyefunga hizi taa ni mzima kabisa?
Baada ya kusema haya, na kwa mpangilio mbovu, niseme TU, Watanzania tunasafari ndefu ya kuishi kwa ustaarabu kwenye miji yetu. Uchafu kila sehemu, noise pollution ndo usiseme, hard waste zimetapakaa kila sehemu. Hatuoni shida?
Am out.
HahahaMwanza, Dodoma, Mbeya, Arusha hivyo vyote ni vijiji vilivyo changamka tu.
Jiji Dar pekee tena la hovyo tu.
Mkuu sio kweli kuwa majiji yote yanafanana. Dar na Mbeya hazifanani hata kidogoHata dar ni maeneo tu machache ambayo yana hadhi ya kuitwa jiji sehemu kubwa hata asilimia 85 ni upumbavu tu
Miji Tanzania inafanana tu majiji yote ni vijiji vikubwa hata dar ni maeneo tu machache yana hadhi ya jiji eneo kubwa ni takataka tu labda kama hujasafiri nchi za watu!....hebu taja jiji moja bongo hapa ambalo wewe unaona lina hadhi ya kuwa jiji!!...nchi yote takataka tupu!...Dar yenyewe ikinyesha mvua nusu saa tu mavi yanatapakaa mji mzima
Dar tunaijua bwana ndo maana tunakuambia asilimia 15 mpaka ishirini ndo yana hadhi ya jiji sehemu kubwa ni upumbavu tu labda kama hujasafiri kwenye majiji mengine duniani!...tunaishi hapa dar na tunapaonaMkuu sio kweli kuwa majiji yote yanafanana. Dar na Mbeya hazifanani hata kidogo
Hata uswazi wa Mbeya ni nyumba kama za kijijini, haufanani na uswazi wa Dar
Yani tofauti ni kubwa sana. Ingawa kote Watanzania ni masikini lakini Dar at least ina maeneo mengi ambayo yanavutia
Mfano haya maeneo yako mbali na City centre ila yapo hivi, Mbeya nzima utatafuta maeneo ambayo yapo kama hivi hupati. Trust me
View attachment 3491758View attachment 3491759
Ila ndo usiseme panafanana na Mbeya. Unaujua uswazi wa Mbeya ulivyo?Dar tunaijua bwana ndo maana tunakuambia asilimia 15 mpaka ishirini ndo yana hadhi ya jiji sehemu kubwa ni upumbavu tu labda kama hujasafiri kwenye majiji mengine duniani!...tunaishi hapa dar na tunapaona
Mi ni mnyamwezi mkuu..Hamna jiji hapa Tz utaenda ukakosa changamoto za namna hiyo hasa ukiwa mwananchi wa kipato cha kati au chini kama wewe(mwajiriwa).
Hamna tabu utaacha kuona kila mkoa utakao tembelea.
Mbeya ni jiji zuri sana, bahati mbaya wengi huwa wanaenda na picha fulani kichwani mwao na wakifika kule hawaikuti hiyo pale mjini.
Mbeya ni bonge la jiji, bila mbeya Tz haili.
Au nasema uongo mmanyani Poor Brain
Nimekaa Mbeya miaka 3 Mara ya kwanza nafika mwenyeji mwangu akanifikishia ilemi nikasema duh huku tena siwez ishi kabisa.Mkuu Mbeya ndio iko hivyo. Hata mimi mara ya kwanza kuja nilishangaa sana. Ila ukikaa kwa muda unapazoea. Nahisi ndio binadamu tumeumbwa hivyo
Licha ya kuwa watu hawali sana matunda ila at least matunda yapo na ni bei rahisi
Ila ni kweli Mbeya ni mjinwa hovyo mno ila kuna mpango wa serikali kujenga mji wa kisasa maeneo ya Nsalaga huenda ukabadilisha muonekano wa jiji letu
Kuna maeneo wamejenga wabongo na yapo vizuri tu, sio kote tumeharibu mfano njoo Iwambi huku fika Maziwa na JB. Watu wanajenga nyumba nzuri
Hata Uyole na Isiese kuna maeneo watu wamejenga vizuri. Forest pia
Cha msingi ukitaka kujenga usinunue kiwanja sehemu za uswahilini. Tafuta mitaa ya kati au premium. Uzuri wa Mbeya hiyo mitaa ipo. Tafuta kiwanja shusha mjengo wako taratibu. Miaka kadhaa jengo limekamilika unakaa zako kwa amani. Unaachana na pilikapilika za Ilomba, Kalobe, Soweto, Mabatini nk
Haka katakua kametoka daslam, kuna nuka kila mtaa..halafu kanakuja kukandia Mbeya kwa vitu vya uongo...
Chips za Mbeya ni sawa na viazi vya kukaanga tu, hazina hadhi ya kuitwa chips.Mbeya vitu bei chee, buku jero unapata chips kavu ndoo nzima.