Hemed Kivuyo wa ITV acha ushamba

Hemed Kivuyo wa ITV acha ushamba

Hugo Jamaa wa ajabu sana bora angekuwa hivyo hata katika vipindi vingine vijimethali vya kishamba sana
 
Nilijua ndio sauti yake hata akionge kawaida.kumbe ile ni sauti ya kuigizia tuu akiwa sna report duuh bongo bhana
 
Mimi ananifurahisha kwa kuwa amejaribu kutengeneza utambulisho wake, anajaribu kuwavutia viewers wake. Keep it up Hemed Kivuyo wa ITV
 
Mbona anautangazaji mzur sana weng tunamuelewa yupo very unique zle mbwembwe ndo znanifanya nisichoke kumsikiliza
 
Me nikiangalia habari za michezo itv yani reporter nnaemkubali ni kivuyo asee,ukute Yanga wamefungwa yani u aweza vunja tv kwa yale maneno yake
 
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani, unaleta madoido ya kizamani, mbona ukifanya mazungumzo ya kawaida sauti yako ni ya kawaida hadi unapotangaza ndo unatuletea mbwembwe! Acha hizo ni ushamba tu huo kama hujui, au unataka umaarufu?
Ndio umeona leo?
 
Tangia kimwili chake kianze kupata vijinyama na kuanza kunenepa sasa amekengeuka mno hasa Kiutangazaji na anaboa pia.
 
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani, unaleta madoido ya kizamani, mbona ukifanya mazungumzo ya kawaida sauti yako ni ya kawaida hadi unapotangaza ndo unatuletea mbwembwe! Acha hizo ni ushamba tu huo kama hujui, au unataka umaarufu?
ujue kutofautisha unatuletea na anakuletea

kama wewe humpendi nenda ITV mikocheni kuna sanduku la maoni

vitu vingine sio mpaka upost vile umehamisha chaneli nyingine inatosha

kama Kivuyo anakuboa basi hata list itakuwa inakuboa pia

  • Dokta Panjuan
    Salim Kikeke
    Harris Kapiga
    Tbway360
    Sam Mahela
    Mauleed Kitenge
hawa wote wana mbwembwe katika utangazaji wao je washawahi kukuboa

mcheza kwao hutunzwa
unajua maana ya uniqueness?
 
Unaweza kumkosoa but not to this extent. Sauti ni yake na ajira in yake watch it carefully
 
huwezi kumpangia mtu namna ya utangazaji
hapo alipo ana mashabiki zake wengi tu wanaopenda the way anavyotangaza
next time akikuboa badilisha channel
 
Mimi binafsi huyu mtangazaji wa habari za michezo ananikera utangazaji wake! kiasi kwamba akianza kutangaza tu nahamisha stesheni, kwani hizo mbwembwe zote zina umuhimu gani, unaleta madoido ya kizamani, mbona ukifanya mazungumzo ya kawaida sauti yako ni ya kawaida hadi unapotangaza ndo unatuletea mbwembwe! Acha hizo ni ushamba tu huo kama hujui, au unataka umaarufu?

MKUU,

ONDOA POVU LAKO LA SABUNI YA MAGADI HAPA!
ILE ND'O PERCULIARITY YAKE,
NA BILA HIYO USINGEWEZA KUMTOFAUTISHA NA WENGINE!

BICHWA HILO!
 
Back
Top Bottom