Jamani naomba mnisaidie. Roho yangu inauma.
I have been with a guy for 2 years now. mimi niko tayari kufunga ndoa nae and i think we have a very good and supportive relationship. lakini nikianza kuongea kuhusu kufunga ndoa ananiambia hajaamua. what does this mean? does it mean hayuko tayari au hajaamua kuniona mimi? mimi naona kama ananichezea tu. najua ananipenda lakini naona hataki kuniona kwa sababu fulani. i wish i had the enough courage to leave him ili nitafute mtu mwingine who wants the same thing as me.
nawaomba mnisaidie jamani, yani roho inauma kweli manake nampenda kweli huyu jamaa. sijui nifanyeje.
Pole sister J,
Naomba nikwambie waziwazi. Huyo jamaa hana mpango wa kukuoa, naomba ulijue hilo. Ni afadhali usonge mbele uangalie mustakabali wako kabla hujapoteza muda. Katika ombi lako huajsema kama kama mnashiriki tendo au la, lakini mnashirikiana (na hilo ndo kipaumbele cha akina kaka) basi ujue hana mpango wa kukuoa. Siamini kama unavyoamini kuwa anakupenda, angekuwa anakupenda angelipokea hilo wazo la ndoa kwa bashaha na kutoa sababu nyinginezo kama vile hana uwezo na mngeanzia hapo.
Napenda kuwashauri akina dada wote kwa ujumla kuwa ukiwa na rafiki wa kiume na unampa tendo basi chance za kukuoa zinakuwa ndogo sana.
kwanza najitambulisha kuwa mimi ni mwanachama mpya naomba munipokee ama kuhusu huyo jamaa achana nae anataka kukudhalilisha tuu kisha akuwache .
Festog kwanza nikupe pole kwa kujikwaa vidole vyote kabla ya ndoa.( kutia mimba binti wa watu. Najua utajifanya ulipanga but I know ni bahati mbaya kwani unaonekana ni mtu anayeogopa sana. Nachelea kuukubali sana baadhi ya ushauri wako kwani kwa kufanya hivyo unaonyesha kabisa kuwa mwanamke hapo abaki kuwa kitu cha starehe tu na ni kiumbe dhaifu. ukishamzalisha mtu unakuwa umempunguzia sana heshima kwenye jamii na moyoni mwake binafsi. Kama wanaume wote wangekuwa na mawazo kama yako nafikiri ndoa isingekuwepo. Sitaki kusema mengi sana ila mmhhh. ushauri wako lazima dada awe makini.
kama unampenda demu wako kwa nini humwambii msimamo wako? kwangu mimi naona its very important to be honest all the time. mtu unasema kila kitu on your mind. mambo ya kufichaficha sio mazuri jamani? au mimi nakosea?
Ndoa hailazimishwi dadangu, ndoa nyingi za kuforce huwa zina kasumba ya kuambatana na matatizo. Mpe muda hadi hapo yeye mwenyewe atakapoona yuko tayari. Kuwa ready kwa mwanaume sio kuhusiana na masuala ya fedha, kazi na makazi tu, kuna kuspend ujana pia au kwa lugha nyingine kula maisha kwanza kabla hujajicomit kwa mtu mmoja 'for the rest of your life'.
Pia kuna uwezekano kuwa kwa sasa jamaa anakuona sio 'wife material' na anaenjoy tu company yako, anaishi na wewe kwa mazoea tu so atakapoamua kuoa atakumwaga. Inawezekana pia uko under probation na kwa sasa anautumia muda huu kukupima kama unafikia standard ya kuwa 'Mrs' wake.
Ushauri wangu kwako ni kwamba inakubidi ujitume sana kwa wakati huu, hasa nyakati za 'mchezo', mfanyie kila kinachowezekana ili uondoe negative thoughts zozote ambazo anazo juu yako, yaani I mean umchanganye kabisa kwa mavituz yako hadi akupigie magoti mchozi ukimtoka na yeye mwenyewe kwa sauti kubwa aseme 'will you marry me?' Kama yote haya yakishindikana na unampenda, kamata basi uende Bagamoyo- hachomoki hapo!!
kama mwanamke anaruhusiwa kutoa mahali... basi mimi ningeenda kutoa! Lakini hizi mila zetu za ajabu hazitaniruhusu.
Mimi nasema dada- olewa ndo mda wako na bahati yako na mda muafaka kuzaa watoto wako!
Watu hapa wanakuzingua tu!
jn,
Nenda dukani mnunulie pafume safi na shati nzuri na maua, na kadi nzuri ya Valentile- then surpise him! Pia siku hiyo mpikie chakula kitam sana- na nunua pia wine tam! Halafu vaa nguo nzuri sana utoke sexy yaani akikuona- mwenyewe achanganyikiwe! Pia paka pafume yako ile nzuri unukie vizuri!
Kwa kunyenyekea- mwangalie machoni- mwambie unampenda sana- umuulize kwa utulivu- ndoa yenu itakuwa lini? Na je mtaishi wawili lini na wapi? Mwambia ungependa sana kumzalia watoto wazuri!
Jishushe kwake ili kujua msimamo wake!
Siri ya mwanamme wa Bongo ukijishusha kama Demu tayari unaikuna roho yake!
Unajua siri ya mwanamme ni mambo madogo kama hayo!
Be humble!
Ina maana katika hii miaka yote 2 anakula vitu kama kawa? Namaanisha mnaingiliana kimwili?.Unajua waswahili husema kula kiku si lazima ufuge wako nyumbani sasa kama jamaa anapata service cheaply haoni sababu ya kubeba responsibilities ndo maana hapendelei topiki ya 'pingu'.
Jaribu kuongea nae kwa ukaribu ujue tatizo linalomkwamisha ili mlitatue vinginevyo nakutahadhalisha uwe mvumilivu na makini unaweza kuruka mkojo ukakanyaga kinyesi.
Kila la kheri katika ndoto zako
Ndoa hailazimishwi dadangu, ndoa nyingi za kuforce huwa zina kasumba ya kuambatana na matatizo. Mpe muda hadi hapo yeye mwenyewe atakapoona yuko tayari. Kuwa ready kwa mwanaume sio kuhusiana na masuala ya fedha, kazi na makazi tu, kuna kuspend ujana pia au kwa lugha nyingine kula maisha kwanza kabla hujajicomit kwa mtu mmoja 'for the rest of your life'.
Pia kuna uwezekano kuwa kwa sasa jamaa anakuona sio 'wife material' na anaenjoy tu company yako, anaishi na wewe kwa mazoea tu so atakapoamua kuoa atakumwaga. Inawezekana pia uko under probation na kwa sasa anautumia muda huu kukupima kama unafikia standard ya kuwa 'Mrs' wake.
Ushauri wangu kwako ni kwamba inakubidi ujitume sana kwa wakati huu, hasa nyakati za 'mchezo', mfanyie kila kinachowezekana ili uondoe negative thoughts zozote ambazo anazo juu yako, yaani I mean umchanganye kabisa kwa mavituz yako hadi akupigie magoti mchozi ukimtoka na yeye mwenyewe kwa sauti kubwa aseme 'will you marry me?' Kama yote haya yakishindikana na unampenda, kamata basi uende Bagamoyo- hachomoki hapo!!
Binti JN be careful na ushauri wa hawa vijana hapa, maneno yao ni mazuri sana (yaani ni ushauri mzuri sana)! Lakini mi najua,mtu ukifikia umri fulani, tabia yako huwa huwezi badilisha kabisa, unachoweza kufanya ni kuficha makucha na kuwa msanii!!
Nina maanisha, kama mpaka sahivi, huna hiyo tabia ambayo akina STEVE D wanashauri, nigumu kubadilika leo hii! Najua unaweza, uka act sahivi na ukamfanya huyo jamaa yako akaingia laini na mkafunga ndoa, lakini nakuhakikishia baada ya muda fulani utarudia your original character!! Hivyo ugomvu itapata permanent accommodation nyumbani kwenu!!
Mimi nakushauri yafuatayo:
1.Kama huyo jamaa haonekani kukumind, mpige chini tu immediately (kama unaweza), lakini mind you sisi wanaume hasa wabondo si very open sana, anaweza kuwa anakupenda sana (hasa wahehe,wakurya,wapare,wahaya)ila hakwambii because anafikiri akikwambia utavimba kichwa sana, na akikwambia mfunge ndoa now, utamletea kiburi because you are young and may be beautiful!! So anaona the only way to control you ni kukuacha bila ndoa!! Kama ni hivyo, ile kitu usimnyime kabisa, tena nakushauri kama unaweza kupata mimba naye iwe hivyo, na make sure ndugu zake wanafahamu hilo na uwe unaiva sana na either mama mkwe au wifis or shemeji's na uwe na mawasiliano ya mara kwa mara (ni muhimu
sana hili jambo)
2. Muombe Mungu sana, si maanishi uokoke!!
3. Usilazimishe ndoa hata siku moja, ndoa ya kanisani au msikitini or bomani ni vitu vya nje tu, si kamba au ulimbo wa kumnasia mume!! Be natural usiwe artificial kwa huyo jamaa yako(isipokuwa kwa hao relatives wake)
For your information myself niko na uhusiano wa aina hiyo na a wife to be, lakini tuna mtoto mmoja already! sina mpango wa kufunga ndoa now, cause no incentive to do that, ile kitu napata , niko na mtoto tayari, so why hurry!! - Pia ukifunga ndoa, majukumu yanalundikana toka kila upande cause every one will now for sure nyie mmeanza maisha rasmi, kumbe now haaaaaaaa!! kila mtu hasa wazee wanatuona wahuni,hatujakomaa kimaisha, kumbe hawajui on myside niko serious and I undestand what I am doing!
Best of luck!
ivi labda ningeuliza swali lingine.. what is the importance of marriage? Is it to legalise a relationship? To show family/friends that you are married? Or is it meeting the right person and wanting to spend all your life with her/him? If you ask me this is what marriage is - its not about anyone else or anything else its about meeting someone, you get on really well, you fall in love, you laugh together you help each other to grow and you love to hang-out together and therefore you want to be together. therefore, if someone says they love you, surely its easy to decide that they want to marry you!