Help me save her from the woman she has become

Erotica mpenzi wangu natamani nikaongee na JK atoe amri mpya ili jumatatu iwe weekend ya mwisho kwa Tz. Maana tunachofanya hapa ni zaidi ya ujenzi wa Taifa....! Napenda game yako mwanamke wangu...! Hamia hukuhuku huyu wa open huyu mchati tu!
 
Last edited by a moderator:
kumbe wewe ni laya? mgonjwa gani yupo kuzurula tena kweny event?

umenifanya nifunkunyue my nursing costumes bureeee! aarrgghh. kumbe mwongo.
Erotica, sorry kukuwa bize!
But really jana usiku ndo nimemaliza dawa zangu hata ikanibidi mdada mmoja ani-host kwake ju nisingeweza kufika kwangu! Ni kujikaza kiume tu...maisha yenyewe ndo haya hakuna muda wa kulala ati ugonjwa!
Tunamaliza this afternoon..tutakuwa na Max et al...
waiting for u unipe mchongo wa another event..i love being busy esp during weekends..!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama Mimi, BF wangu, some family members ndio watu wenye uzito mkubwa zaidi kwangu, watu wengine ni wavurugaji wa life za watu, but kuhusu kijisikia vibaya anapoambiwa kila kitu negatively, achukulie poa, binadamu ukiwa hai kukandiwa ni kawaida
Aisee mbona hata mimi niko hivyo, l don't have confidant au best girlfriend. Mara karibu na zote confident wangu ni mpenzi, ndugu wa karibu, Jesus na kidogo JF!

Ndivyo maumbile, huwezi badilisha!
 
Kitu nilichojifunza kwa PettyCash; ni kwamba haridhiki na huyo mchumba wake, maana nyuzi zake zote ni ulalamishi tu. Mara ooh ni psychologist, mara anampenda dada mwingine, mara suprise zake mbaya etc!

She must have something good, msifie basi siku moja!

On a serious note; semezana na moyo wako. Kama unaona mapungufu tu, muache mapema ili apate mtu atakaye kuwa anamuidmire! PetCash
 
Kaunga--> Post zote ulizomsoma namsifia sana tu and I am just seeking solution from you guys so I may rectify thngs...huko si kumponda. Uhusiano wetu una challenge nyingi thats all
 
Last edited by a moderator:
Erotica mpenzi wangu natamani nikaongee na JK atoe amri mpya ili jumatatu iwe weekend ya mwisho kwa Tz. Maana tunachofanya hapa ni zaidi ya ujenzi wa Taifa....! Napenda game yako mwanamke wangu...! Hamia hukuhuku huyu wa open huyu mchati tu!

usiwe na wasi wasi Paxie, huyo mume tumeelewana tuongeze week mbili za kujibanjua. mwaaah.
 
Erotica, sorry kukuwa bize!
But really jana usiku ndo nimemaliza dawa zangu hata ikanibidi mdada mmoja ani-host kwake ju nisingeweza kufika kwangu! Ni kujikaza kiume tu...maisha yenyewe ndo haya hakuna muda wa kulala ati ugonjwa!
Tunamaliza this afternoon..tutakuwa na Max et al...
waiting for u unipe mchongo wa another event..i love being busy esp during weekends..!!!

basi ngoja niangalie shedule yangu, tupange tuonane lini for further discussions.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom