Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Mkuu umekuja kuwaje tena? Unauliza makofi polisi?
Ni wakati wangu sasa kukukaribisha na kukupetipeti..uwezi jua nikaacha pombe kwa ajili yako karibu sanaaa.:A S 41:
haaaa......!!!huyo hapo juu kadhani nina id mbili thats why nimemwambia "am pure new here"!!!"
Ahaaa.. Nashukuru kwa maelezo mazuri.. Hii ilikuwa tungo tata tatizo tinna cute..
BTW ana shaka unaweza kuwa one of his exes na u want to get back at him.. Ana majanga huyo kiumbe anaeitwa Bishanga.. We achaa tu..
njoo njoo. we njoo tukuchome moto. labda uje na maji ya dafu
mmmhhhh!nakwambia ivi ile post ilikuwa kwa my hubby, na id yng anaijua!!! yani ye mwenzangu usiku bize na JF ni vicheko kwenda mbele ukiuliza nini aaah jf bwana. ooooh!!! nilivyochoka sasa nikasema hebu na mie nijichetue huko jf haaaaaaa!!! pm mbona kumejaaaa watu wana dogo humu.................., kuona ivo mbona kajirekebesha vicheko vya jf sa ivi usiku hakuna labda anachekea moyoni????? na penzi limechanua ilo kama kaniona jana yani sa hivi ni mwendo wa kusifiwa tu!!!!!! "ooooh! unajua ur so beatifully and sexy ur eyes drive me cryz"!!! hicho kisura kama cha kiarabu hebu njooo hapa.........." na dar tunaenda wote wakati hata mpango hakuwa nao sijui kadanganya nini huko ofisini kwao!!!.
isagha kuPM...
Ku PM ko fiki nu ilumbugho???. Umwe....!!! angubhaagha.
umeshakaribishwa teyari,karibu ukaribie upewe kiti ukalie na kitako utulie.
Nalog off
Means "sealed at both ends"..