k!!! ngoja nije but make sure huna presha wala kisukari........... maana haka ka beuty na visapoting document lazima ushtuke!!!!!!!"
Good girl! Embe nicheki kwa pm nikupe maelekezo!
cc😡Asprin
oooh!!! wakati nataka niku pm nimejishika usoni vibaya mawani yangu yameanguka yamevunjika sioni jaman mie!!!!!!!..........
Huo usanii huwa hausaidii! Embu njoo mimi nakusubiri!
nimegundisha vioo na super glue!!! ngoja niku pm.......
Nikimaliza kukukagua wewe nitajadiliana na Asprin nithibitishwe kwenye hiyo position!
sosoliso hali yangu taabani na ndio maana nimepunguza muda wa kuingia jukwaani... Kama utakumbuka vizuri 28th Dec 2012 tulienda Tanga na mume wangu Filipo hakucheza mbali akafanya kweli.. Sasa niko kwenye dakika za majeruhi... any time nitawaletea Filipo junior......... Mume wangu yuko bega kwa bega na mimi , tunaomba mtuombee tumalize hii safari salama..... cc Arushaone na wengine
Huo usanii huwa hausaidii! Embu njoo mimi nakusubiri!
nimegundisha vioo na super glue!!! ngoja niku pm.......
Good girl! Embe nicheki kwa pm nikupe maelekezo!
cc😡Asprin