Hellow wana cc

Hellow wana cc

nakwambia ivi ile post ilikuwa kwa my hubby, na id yng anaijua!!! yani ye mwenzangu usiku bize na JF ni vicheko kwenda mbele ukiuliza nini aaah jf bwana. ooooh!!! nilivyochoka sasa nikasema hebu na mie nijichetue huko jf haaaaaaa!!! pm mbona kumejaaaa watu wana dogo humu.................., kuona ivo mbona kajirekebesha vicheko vya jf sa ivi usiku hakuna labda anachekea moyoni????? na penzi limechanua ilo kama kaniona jana yani sa hivi ni mwendo wa kusifiwa tu!!!!!! "ooooh! unajua ur so beatifully and sexy ur eyes drive me cryz"!!! hicho kisura kama cha kiarabu hebu njooo hapa.........." na dar tunaenda wote wakati hata mpango hakuwa nao sijui kadanganya nini huko ofisini kwao!!!.

Afu wee mtoto bado mgeni lakini una maneno meeeeengi kama Mengi..... hivi ile ID yako ingine unaitwa nani tena?

Source watu8 plus Filipo.
 
Last edited by a moderator:
une ndi kumbwani lilino...nasokilepo kukajha

kumbwani poki?


Hivi mnapoongea kikwenu humu mnadhani wengine hatujui kikwetu siyo?

Haya someni basi....


[h=1]היו גם אתם שגרירים של רצון טוב![/h] נוסעים לחו"ל? עכשיו ההזדמנות שלכם להשפיע ולשפר את תדמיתו של המטייל הישראלי בחו"ל! רגע לפני העליה למטוס, עצרו ליד השער וקחו אתכם, בחינם, מארז של חמש גלויות מאוירות ויפות, שכל שימושן הוא להגיד "תודה" בצורה קלה ופשוטה היכן שתהיו בחו"ל - מלון, מסעדה או כל מקום אחר בו תיהנו!

השבוע הוצבו 30 מתקני גלויות "תודה" בכל שערי היציאה בנתב"ג, של עמותת "שגרירים של רצון טוב". העמותה הוקמה בחודש דצמבר 2001 ושמה לה למטרה לשפר את תדמיתם של התיירים הישראלים בחו"ל. קירות השדה קושטו גם הם, בכרזות מיוחדות - ביציאה מביקורת הדרכונים ובאולמות היציאה התחתונים.


Copy: Baba V
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kukukataza, kwanza na yeye itakuwa imemuongezea CV kwamba ameoa mtu ambae alishawahi kutoka outting na MWENYEKITI...
Cc. Arushaone.


Sirudii tena,

Sitaki kiwowowo kiugue tena (Hapa kanifundisha Erickb52) Arushaone usijenitovuga macho bure..
Ni vizuri kuwa na matumaini, huyo Queen Kan ana hasira za kuporwa mume, jana alikuwa anaulizia maduka wanayouza nyembe kwa jumla ili akamfanyizie mbaya wake, angalia asijepumzika kwenye usingizi wako wakati anatafuta solution ya ndoa yake. Mi mwenyewe nimeku miss hadi balaa, weekend nikutafutie wapi, bosi wangu kule ninakolinda godauni atanilipa malimbikizo yangu kesho. Sema nikupeleke wapi usahau maumivu ya kuugua.

Kwa hisani ya Arushaone.

Sasa wee mzee unatafuta BAN ya lazima.... Hii tabia hakukufundisha Erickb52 wala sosoliso ni wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom