Hellow wana cc

Hellow wana cc

sosoliso hali yangu taabani na ndio maana nimepunguza muda wa kuingia jukwaani... Kama utakumbuka vizuri 28th Dec 2012 tulienda Tanga na mume wangu Filipo hakucheza mbali akafanya kweli.. Sasa niko kwenye dakika za majeruhi... any time nitawaletea Filipo junior......... Mume wangu yuko bega kwa bega na mimi , tunaomba mtuombee tumalize hii safari salama..... cc Arushaone na wengine

woow kwa hiyo uko mwezi wa mwisho kabla hujashusha mgeni marejesho.. Hongera sana.. Mie nilikuwa ninasikia mauvumi ya ajabu hapa mtaani lol.. Kweli aliepaita hapa a rumour's ville hakukosea.. Ila nae mumeo Filipo hata kusema kitu..
 
Last edited by a moderator:

sosoliso bana! majungu muanzishe nyie, kusema niseme mie! Mbona majanga!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom