Hellow JF! Mambo iko Tarangire

nipo la aziz....kinachonisibu mpaka sasa ni kwamba....sijui leo ni lini, na ni nini kinaendelea mpaka sasa hapa ndani.....

Pole sweet heart wangu, missin' you sana. Lakini haya yote uliyataka mwenyewe, uliona bora uzime simu ili kunipandisha presha bahati mbaya kwako Derimto na wenzake wakakuchanganyia ukwaju wa tanga kwenye asali basi ukapoteza network kabisa.

Anyway, kwakuwa network ndo imeanza ku-search kuwa mtulivu kidogo, sasahivi nitakuvutia waya nikujulishe leo ni siku gani na nini kinachoendelea.
 
Mambo ya JF Arusha........ Arusha ndio mwanzo mwisho!

ebwanaeee, dah kweli mliouwepo mlifaidi.
Kiongozi naomba utambulisho please, zaidi ya Kaka mkuu PJ, WL, my Preta ,Lil Maua na Mzee wa kazi Eeka Mangi(kama macho yangu yanaona vizuri) wengine nimefaidi sura zao tu kwa mbali.

Hili lililkuwa bonge la mjumuiko.
 

niko hapa kukuskiliza,,sema neno ila ujue mwenyekiti anapokea rushwa
 

niko hapa kukuskiliza,,toa ushauri ila ujue mwenyekiti anapokea rushwa
 
Vipi tena, hutaki tujionee jinsi ulivyotisha mama.
usiwe na shaka zile nyingine wakati wanapigana vikumbo zitahifadhiwa, hmethod anajua anachofanya.

dah!afadhali zimetolewa,,,we wa nyumbani shaka ondoa utaziona
 
Vipi tena, hutaki tujionee jinsi ulivyotisha mama.
usiwe na shaka zile nyingine wakati wanapigana vikumbo zitahifadhiwa, hmethod anajua anachofanya.

Imebidi nizitoe pic kwa ajili ya marekebisho kidogo nitazirudisha tena baadae. Samahani sana kwa usumbufu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…