Habari yake Derimto! Hapa wote ni hangover tu! Kuamka jioni.
Hahaha nikimbie mji? Nipo na my wiselady hapa anikanda wakati supu inachemka jikoni!
Ha ha haNiko Fresh kaka ila mzunguka zaidi kichwani kwangu washkaji nashindwa kuwatoa jana ilikuwa moto mbaya kabisa nawamic mmwagie maji Matty na mwambie Big.na Teamo kazi yao kubwa mwanajamii1 ananitesa.
Kama wewe umeweza kuamka una nguvu kaka nakuchia FL rasmi.
Hahaaa mi sivitaki vya mshariti nafuu nataka hivyo hivyo nilivyotuma, usiniambie unaogopa kuniletea, nikiasi cha kumkamata simba unamtanua mdomo then unakata, hata rhino usimuogope sawa eeh.
@ Saharavoice acha wivu inaelekea Kimey alipanda dau zaidi.. Haku tikisika mpaka muda wa mwisho...
Hahaha habari yako nyuki banaa!Wapi bana Wiselady nipo nae hadi sa hivi hajaamka..huyo ulienaye ni wa kuchakachua!
Wapi bana Wiselady nipo nae hadi sa hivi hajaamka..huyo ulienaye ni wa kuchakachua!
Kasoro mimi tu!..Mimi nilikuwa makini mdogo wangu, si uliona eeh?...wengine wote hadi pombe wamenyweana!Jamani jana kulikua hamna refa wala mpole.... watu walikua wana chakachuliana... Ukisimama tu mtu ana fidia GAP...
Du...Huyu WiseLady itabidi sasa niingilie kati nimwite ofisini kwangu kama Mwenyekigoda, ili nijue namna ya kumsaidia au kumpa ushauri-Nasaha, maana inaonyesha nyota yake ya MALAVIDAVI inang'aa mno...Wapi bana Wiselady nipo nae hadi sa hivi hajaamka..huyo ulienaye ni wa kuchakachua!
Kasoro mimi tu!..Mimi nilikuwa makini mdogo wangu, si uliona eeh?...wengine wote hadi pombe wamenyweana!
Mkuu,Hukuaga mwenyekiti wangu hivyo cna uhakika uliondoka na nani maana umebaki kuwa invisible.
Waambie hao mamaa hawana lolote! Mi na wiselady mpaka kifo.
Bora mwaya...ushikwapo shikamana!well said swirry,,me miss u already
Wapi bana Wiselady nipo nae hadi sa hivi hajaamka..huyo ulienaye ni wa kuchakachua!
Bora mwaya...ushikwapo shikamana!
Usije baadae ukasema ...ooohhh Mwenyekigoda alikuwa anabana nafasi ya kuzungumza na wandani wetu...ooohh alituzuwia tusiuze sura...kama mlishindwa iam out of blame!...nilitenda haki bana...right?
Nimekuletea chawa za simba maana nasikia ni dawa kali sana ya maenzi ukimpa eng.smash anatakuwa anakupenda mpaka analia machozi tu atakupenda ki mwaipopo. Achana na yule mganga wako wa kizamani anayevaa mayenu siku hizi.