Pole jiraniTupo Arusha hatupo huko
Huenda mtu anamtafuta mshkaji wake kakimbia na hela ya mchezo.Tuma details zake hapa ili tuanze kampeni ya kukusaidia apatikane..!!
😹😹😹 Mmeanza waungwana..!!Huenda mtu anamtafuta mshkaji wake kakimbia na hela ya mchezo.
Bebi katembea mbele yupo anazitumbua na mtoto mbichi.😹😹😹 Mmeanza waungwana..!!
Kajiteka ili alumbue tumbua bila stress 😹Bebi katembea mbele yupo anazitumbua na mtoto mbichi.
Kesibyavuraia ikoje?Sijakuelewa,lakini umenikumbusha kuna dada akiwa hukohuko Dodoma alikamatwa na polisi wakampa kesi ya uraia ila polisi Mungu anawaona🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hela hazitaki jasho la mtu mzima uliyemzoea.Kajiteka ili alumbue tumbua bila stress 😹
Unamdis da Mau 😹Hela hazitaki jasho la mtu mzima uliyemzoea.
Huu mtego siingi alisema Palamagamba Kabudi Prof kutoka jalalani.Unamdis da Mau 😹
😹😹😹 Da Mau ana vichambo huyo..!!Huu mtego siingi alisema Palamagamba Kabudi Prof kutoka jalalani.
Walisema Wana wasiwasi na uraia wake!Kesibyavuraia ikoje?
Naona huyo ni ndugu yenu asiyewaumaSisi tupo Arusha hatupo dodoma