Hello naomba msaada

Hello naomba msaada

Nimpate tu alipo maana hapatikani hewani leo ni siku ya 2
Kama amekujulisha amekamatwa na anahitaji dhamana kwanini msiende Hapo Dodoma vituo vya Polisi kuulizia?

Kama mnafahamu kwa majina yake nendeni Vituo vya polisi hapo Dodoma mkianzia hapo Central mkamuulizie mtampata maana akiingizwa Selo (Lock up) simu zinakabidhiwa pale Kaunta!
 
Hii ishu mtu tu wakusaidia ni ngumu,ingekuwa sivyo mmoja wa ndugu angeenda Dodoma kufuatilia,
 
Kama alikwambia yupo kituo gani mfuate huko, polisi huwa wana tabia ya kuzima simu za mahabusu.

Huwezi kumpata mpaka atoke kituoni.
 
Tukusaidieje ? Kama haupo dodoma, tafuta mtu aliye nae karibu ama ndugu zake wafatilie kwa karibu
 
Back
Top Bottom