Hello Hello naomba mnipokee

Hello Hello naomba mnipokee

Unanikumbusha mbaaaaaaali huko. Kipindi form 5 wanareport shule, basi form six huwachukua na kuwauzia vitanda, canteen's tozo, yaani ili mradi tu kuwakomoa. Wale jamaa hawakuwa fair kabisa.
Hahahah aiseee nakumbuka sisi waliuziwa hadi chaga na ada ya BAFU NA CHOO😎
 
😘 karibu naitwa Lamomy, muungwana wowote akikutongoza pm ni add nikusaidie kufatilia mazungumzo yenu wasije kukudanganya..!!

Mimi nipo kitengo cha kudhibiti majambazi wa mapenzi okay?
😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom