Waache waendelee kuangalia matangazo ya yas watashtuka pamekucha 😅Tunaolipwa ni mimi na Harmful 🤣
Umeshapokelewa....Naomba mnipokee
Br samahani nimekuja kwa kuchelewa mm ndo chairman nitakupa maelekezo humu ndani🫤Mimi ni mgeni naomba mnipokee pia naomba support yenu
No reforms no election
Umeona mkuu, usalama kwanza 😂Hakika mkuu, huyo ni Binti yetu sote lazima tumlinde asje akaliwa tunda kimasihara. 🤣
Girl
Unanikumbusha mbaaaaaaali huko. Kipindi form 5 wanareport shule, basi form six huwachukua na kuwauzia vitanda, canteen's tozo, yaani ili mradi tu kuwakomoa. Wale jamaa hawakuwa fair kabisa.Karibu sana mkuu umelipia tozo lakini??
Kuna tozo ya kiingilio😉😉
Usihofu. Nitakupaka mafuta hutaumiaSipo ivo
Kwani wewe ni shoga?Usihofu. Nitakupaka mafuta hutaumia
Asante
NaniBaby girl ameagiza hen pale kfc….
NipeBr samahani nimekuja kwa kuchelewa mm ndo chairman nitakupa maelekezo humu ndani🫤
Na kwako piaJioni njema
Duuuh, kazi ipo🤔Jina langu linasomeka vizuri hapo nakaa vikundu