Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,283
- 10,848
Pm itajaa soon
Imeijuaje Jamiii forum, na kwa nini umeamua kujiunga nayo??
Pm itajaa soon
Bila kusahau namba ya simu🤓🤓Ndugu AsuHkl, karibu Jamii forums.
Tunaomba ujaze taarifa zifuatazo kwaajili ya usajili wako.
Jina lako:
Umri:
Mahali unapokaa:
Asante.
Cc: JamiiForums
Karibu sana mkuu..
Ndugu AsuHkl, karibu Jamii forums.
Tunaomba ujaze taarifa zifuatazo kwaajili ya usajili wako.
Jina lako:
Umri:
Mahali unapokaa:
Asante.
Cc: JamiiForums
Tuma passport size 2(coloured) , katibu nikuweke kwenye list !
Pia kuna fee ya jukwaa letu pendwa, kwa maelezo zaidi Pm
Nyuzi za aona hii mara nyingi ni za wenyeji ambao tayari wana account JF wanakuja na IDs zingine
Ila karibu mkuu
Karibu jisikie upo nyumbani sebuleni mkuu
Aje akugue mwandiko nini 😂
Vikundu? Au Vikindu?Jina langu linasomeka vizuri hapo nakaa vikundu