Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Mkuu karibu sana....
Umetoka mkoa gani? Ushafika Magufuli au unashukia mbagala?
Mkuu karibu sana....
#New ID
Ngoja nikufundishe ku-quote, angalia ujumbe unaokusudia kuujibu chini mkono wako wa kulia utaona neno (reply) bofya hapo utaona inakuletea uwanja kuandika ujumbe wako. Sawasawa binti yangu?Sawa nitaepuka
HiviNgoja nikufundishe ku-quote, angalia ujumbe unaokusudia kuujibu chini mkono wako wa kulia utaona neno (reply) bofya hapo utaona inakuletea uwanja kuandika ujumbe wako. Sawasawa binti yangu?
Yah kufikia kiwango cha kuanza kulipwa humu JF sio jambo dogo na n wachache mno tunalipwa humu, ila sio mbaya kwakuwa jamaa bado mgeni bc ikifika wakati ataelewa.Hahaha hujalipia anyways ila sio shida karibu jitahidi uanze kulipwa kama sisi
Cc: Rayns Mbaga Jr Poor Brain min -me Vincenzo Jr
HiviNgoja nikufundishe ku-quote, angalia ujumbe unaokusudia kuujibu chini mkono wako wa kulia utaona neno (reply) bofya hapo utaona inakuletea uwanja kuandika ujumbe wako. Sawasawa binti yangu?
HiviNgoja nikufundishe ku-quote, angalia ujumbe unaokusudia kuujibu chini mkono wako wa kulia utaona neno (reply) bofya hapo utaona inakuletea uwanja kuandika ujumbe wako. Sawasawa binti yangu?
Kwamba achunguze kama ni Dr au 😂😂😂
HiviYah kufikia kiwango cha kuanza kulipwa humu JF sio jambo dogo na n wachache mno tunalipwa humu, ila sio mbaya kwakuwa jamaa bado mgeni bc ikifika wakati ataelewa.
Ndiyo, clap for yourself nowHivi
ViKwamba achunguze kama ni Dr au 😂😂😂
😘 karibu naitwa Lamomy, muungwana wowote akikutongoza pm ni add nikusaidie kufatilia mazungumzo yenu wasije kukudanganya..!!Niko pwani vikindu nilisema mnipokee kwenye hii forum sio stand
Hapa kwenye neno quote kuna nini?Ndiyo, clap for yourself now
YesHivi