Hello fam it is me beautiful girl

Hello fam it is me beautiful girl

Inashangaza sa we ni Me unafaidika nini kujifanya Ke.

Ukute una kaaidi kako ka Ke umejisahau kama hujakalog in kumbe umelogin ka Me.

Na shida iliyopo ukishaandika uzi haufutiki mpaka wafute wenyewe. Lol. Aibu sana hii.
Mtaniiiiiiiii
 
Kumbe ni lidume linataka kutapeli watu, usikute ni lishoga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom