Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,852
- 86,662
umechezaje hapo😅 ulinichomesha mahindi wewe!Sasa kama Valentino haukutokea unataka nilale naota nini?
umechezaje hapo😅 ulinichomesha mahindi wewe!Sasa kama Valentino haukutokea unataka nilale naota nini?
Ila kula pilau sio lazima mpaka sikukuu 😜umechezaje hapo😅 ulinichomesha mahindi wewe!
Punguza dose dada!😅Siku hizi watu wote ni wekundu????
Nakumbuka jf party moja nilihudhuria aisee kulikuwa na midada mule rangi ya chocolate pure,,, mitoto ya ya kwendraaa..........
Kiasi kwamba kama hiyo picha ni wewe kweli basi u niid to up giredi babe!!!!!! Na upost tena
Zingatia levels levels baby.
😂😂😂Siku hizi watu wote ni wekundu????
Nakumbuka jf party moja nilihudhuria aisee kulikuwa na midada mule rangi ya chocolate pure,,, mitoto ya ya kwendraaa..........
Kiasi kwamba kama hiyo picha ni wewe kweli basi u niid to up giredi babe!!!!!! Na upost tena
Zingatia levels levels baby.
BODY COUNT inasomekaje?Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha
unamtetea mwenzioHii haikuwa na ulazima mzee wangu.
Una ugomvi na mtu huko mtaani kwenu hadi uendeleze hasira zako JF?
Hakuna uzalamo wowote ule!We
jamaa n mzalamo pure 😁😁
😄JF VAR CHECK
Bila shaka itakua umekatiza Dozi za matibabu.
Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi na kutriger tatizo la akili moja Kwa moja Kwa kujitokeza,,
I'm a advance school graduate,,but my professional ni truck driver na ni mtanzania nilitamani sana kufanya kazi nje ya tanzania I mean kwenye nchi zinazolipa vizuri lakini hofu inakuja kutokana na Hali yangu ya afya ya akili niliopata...
- mkunga wa jadi
- akili ugonjwa ugonjwa wa akili
- Replies: 32
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
😂😂😂😂Kadada cha watu kenyewe chekundu kazuri ila watu wanamshambulia 😁
Wewe niite au nitukane upendavyo.unamtetea mwenzio
Mkuu kusema ni mwenzio wa jinsia ni tusi?Wewe niite au nitukane upendavyo.
Tukana na babu zangu pia.
Sutakujibu matusi, and I will never get hurt.
Never get perturbed.
Let's make JF a safe place to interact.
Tusi sababu nimejitambulisha Mimi ME kwenye maandiko yangu yote JF.Mkuu kusema ni mwenzio wa jinsia ni tusi?
Mimi sijayasoma hayo maandiko! Ok mkuu nisamehe!... pardon meTusi sababu nimejitambulisha Mimi ME kwenye maandiko yangu yote JF.