Hello fam it is me beautiful girl

Hello fam it is me beautiful girl

Sanaaa!!! Na ndo maana wengine waliamua kuwekana ndani kabisa!!!!!
Halafu nyau mmoja anasema hukuna wanawake humu.
Lakini we mzee si ulishazeeka????
...waliamua kuwekana ndani na kuamua kubadili ID kabisa, vijana wa jf ni hatari sana.
Nimezeeka lakini subiri nimalizie kwanza, huyu Seran yupo kwenye mikakati yangu🤣🏃🏃🏃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom