Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,027
- 87,036
Umeona eehh!!Hela muhimu pasipo Hela kimbia
Mzee mwanga huyu!! Kaniganda tangu jana jamani..!We mzee si una mke jamani!!!!
Umeona eehh!!Hela muhimu pasipo Hela kimbia
Mzee mwanga huyu!! Kaniganda tangu jana jamani..!We mzee si una mke jamani!!!!
Tatizo maneno mengi pesa hakuna!!!!!! Kuwa makini na hivi vizee.... Kinaweza kukupa swaga ukaipeleka mwenyewe!!!!! Muhimu zuia maneno yasiwe mengiUmeona eehh!!
Mzee mwanga huyu!! Kaniganda tangu jana jamani..!
Mke? Umewahi wapi kuona mwanaume rijali akawa na mke mmoja? Nyie mmeumbwa kwa ajili yetu..Hela muhimu pasipo Hela kimbia
We mzee si una mke jamani!!!!
Ona sasa unavyoharibu🤣🤣🤣Tatizo maneno mengi pesa hakuna!!!!!! Kuwa makini na hivi vizee.... Kinaweza kukupa swaga ukaipeleka mwenyewe!!!!! Muhimu zuia maneno yasiwe mengi
Twende taratibu seran, wala hakuna kitachoharibika😋Umeona eehh!!
Mzee mwanga huyu!! Kaniganda tangu jana jamani..!
Nimepata la kujifunza dada, sasa katanikoma!!!😊Tatizo maneno mengi pesa hakuna!!!!!! Kuwa makini na hivi vizee.... Kinaweza kukupa swaga ukaipeleka mwenyewe!!!!! Muhimu zuia maneno yasiwe mengi
We umeshashindikana! Eti tumezaliwa kwaajili yenu! Usinivunjie ndoa yangu tafadhali🫢Twende taratibu seran, wala hakuna kitachoharibika😋
Kakomeshe mwaya😜Nimepata la kujifunza dada, sasa katanikoma!!!😊
Kabisa,,, dada nipo kwenye moja na mbiliNasema hivi! mzee atupishe tumalize jambo letu!
Dogo nampa ukweli ufanye maamuzi mapemaaa.Ona sasa unavyoharibu🤣🤣🤣
Mahi nauza serum nzuri kutoka Japan inaondoa wekundu wa mkorogo..!! KARIBU
We mpe tu huo ukweli, tuna mbinu za kuwanasa wala sio shida🤣Dogo nampa ukweli ufanye maamuzi mapemaaa.
Mbinu gani mpya?We mpe tu huo ukweli, tuna mbinu za kuwanasa wala sio shida🤣