Hello fam it is me beautiful girl

Hello fam it is me beautiful girl

Hii kitu , nashangaa bwashee inawezekana vipi mtu ni mwanaume na akaweza kufanya hvyo🤔
Tatizo ni kwamba,kuna watu hua wanakua kama wana ugonjwa fulani hivi, wakutaka kuanzisha Uzi kila muda,ila wanakua hawana mada za maana,

Bwashee kuna watu wamesha jikatia tamaa,akianzisha uzi na watu wakawa wanachangia basi angalau na yeye anapata faraja kupitia huo uzi.
 
Huwa nina fikiria nyuzi za kushusha kushea humu , ila kabla ya kuposti kichwa inapata picha ya reply za hasa za wale wanaofikiri kwa kina naishia kufuta tu.😄😄
 
IMG_7660.jpeg
 
Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha

View attachment 3544611
huu mtego, no any member in jf will dare to send their picture jf.
Labda facebook.

Afu mbna huyu mkeo wakawaida sana, afu kajichubua had kawa mwekundu.

rudi tu kwa dada etu wa kisukuma
 
Wakienyeji kabisa mtoto, karibu 😁😁
Wewe haya mambo ya 'wakienyeji' umejulia wapi? 😜
Hao wakienyeji uswahilini wanaliwa hadi utumbo na mifupa. Namaanisha kuku wa kienyeji.🤭🤭🤭
GENTAMYCINE talented charismatic fella, lakini siyo Saidi Fella anlijua hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom