Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Mi ndo Sina Hela kabisa,bado nguvu kipengele
Ni kama nalionaga kaburi Lile pale..
Mungu tu ananiokoa kupitia malaika wake
Hakuna kukata tamaa madam, hii dunia mwenye nguvu ndio anasurvive. Ndio maana unaona kuna wachomq chapati, maandazi, vitumbua, wauza nyanya na mbogamboga njiani. Ili usurvive lazima ufanye jambo, hata dogo tu.

Hakuna kukata tamaa, weka hiyo akilini.
 
Ni kweli kukata tamaa ni dhambi kubwa sana, mitihani ni sehemu ya maisha yetu na kujifunza kwa pale tunapo kosea kila tunapo jaribu kufanya kile kitu cha kutuingizia kipato. Zuluma ktk utafutaji hututafuna na kutuharibia imani na Baraka kwa kila tukifanyacho.
 
Hakuna kukata tamaa madam, hii dunia mwenye nguvu ndio anasurvive. Ndio maana unaona kuna wachomq chapati, maandazi, vitumbua, wauza nyanya na mbogamboga njiani. Ili usurvive lazima ufanye jambo, hata dogo tu.

Hakuna kukata tamaa, weka hiyo akilini.
Nafanya.lakini najikuta natamani kukifanya kwenye ubora zaidi.na kuhitaji wa nguvu ndipo unapotokea.maana hata kile nkifanyacho hakikidhi mahitaji

Muuza nyanya angekaa tu angeuza?
Akitembeza na mzigo kichwani door to door ndo anauza
Na wengine Wana mitaji wanafungua magenge wanauza
 
Back
Top Bottom