Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

Gentleman,
kazi ya hekaya na upotoshaji ni kukupumbaza na kukufanya uwe lofa kifikra daima.

Porojo na story za pata potea hua ni nonsense zisizostahili kumpotezea mtu muda wake gentleman πŸ’
 
The best advice...!!!
Gentleman,
the best advice ni chadema masalia wote kuacha kubebwa ufala wa kifikra na tapeli msukule polepole hata kama you have nothing to do in this country πŸ’
 
Acha kumfuatilia unapoteza muda wako wewe zumbukuku.
 
Gentleman,
the best advice ni chadema masalia wote kuacha kubebwa ufala wa kifikra na tapeli msukule polepole hata kama you have nothing to do in this country πŸ’
Ya CHADEMA tuachie wenyewe.. Pokea huo ushauri utakusaidia maishani
 
Ndg. Umeshupaza shingo na fikra zako sana, lkn cha kufurahisha ktk umma huu ni kuwa haueleweki .

Polee sana.
 
Gentleman,
surely kwamba eti kuna watu wenye majukumu yao mahali, eti wanamsikiliza kabisa, wanamuamini na wanababaika na hekaya za msukule polepole, zaidi ya chadema masalia?🀣

Labda sio nchi hii πŸ’
 
Ya CHADEMA tuachie wenyewe.. Pokea huo ushauri utakusaidia maishani
ushauri muafaka ndio huo niliowapatia gentleman, puuzeni at your own risk,

but hekaya za msukule polepole ni nonsense kwenu na kwa yeyote yule.
Hakuna haja ya kubabaika nazo hata kidogo πŸ’
 
Ndg. Umeshupaza shingo na fikra zako sana, lkn cha kufurahisha ktk umma huu ni kuwa haueleweki .

Polee sana.
Tuliza mihemko gentleman utaelewa tu.

kwa mihemko ni ngumu kuelewa zaidi ya kuweweseka tu πŸ’
 
Uongo gani wakati mbarika zinapasuliwa?
ex wako akikuexpose in public hua ni kweli au maneno ya mkosaji tu. uaminiwe wewe au yeye?

hekaya za msukule polepole ni useless na completely nonsense na ndio maana ni chadema masalia wachache tu ndio ambao wanababaika nazo πŸ’
 
Acha kumfuatilia unapoteza muda wako wewe zumbukuku.
Gentleman,
sina haja ya kumfuatilia msukule polepole, haja yangu ni kuwanusuru kubebwa ufala wa kifikra na huyo tapeli πŸ’
 
najaribu kuwanusuru wadau wa JF msije kubebwa ufala wa kifikra na huyo tapeli gentleman, coz I love and respect you so much.

Just ask yourself,
yeye kajificha, what would you do on behalf of him zaidi ya kukubea ufala uwe lofa kama yeye πŸ’
Unawanusuru wewe kama nani mkuu, mbona unajipa umuhimu usiokuhusu?
 
ex wako akikuexpose in public hua ni kweli au maneno ya mkosaji tu. uaminiwe wewe au yeye?

hekaya za msukule polepole ni useless na completely nonsense na ndio maana ni chadema masalia wachache tu ndio ambao wanababaika nazo
 
Unawanusuru wewe kama nani mkuu, mbona unajipa umuhimu usiokuhusu?
Gentleman,
nashauri kama mTanzania mzalendo, mdau makini na wa heshima wa JF, mtaalamu muandamizi wa masula ya siasa, mtafiti na muhadhiri muandamizi wa vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi, mkulima, mfugaji, mfanyibiashara, mshauri wa vyama vya siasa, mtumishi na kiongozi mchapakazi hodari wa wananchi,

sistahili chochote, ila hayo ni kwa uchache tu gentleman πŸ’
 
Mwandamizi wa buku saba LumumbaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Acha kutapatapa we bwege, badala ya kuonesha huo upotoshaji alofanya unaandika mashudu tu hapa. Unapuuzwa tu gentleman maana hujawah kuwa na point zaidi ya blaablaa na tatarira tu
 
Gentleman,
surely kwamba eti kuna watu wenye majukumu yao mahali, eti wanamsikiliza kabisa, wanamuamini na wanababaika na hekaya za msukule polepole, zaidi ya chadema masalia?🀣

Labda sio nchi hii πŸ’
Waulize wana mtandao wenzio watakwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…