kwahiyo kamanda wa chadema masalia, wewe ndie pekee ulieshupaza shingo na kuconcentrate na pupoteza muda dhidi ya hekaya nonsense za huo msukule, right?
are you surely okay mentally?🐒
Wewe hadi kumuanzishia uzi? Unadhani nani ana ufala ndani yake chief, imagine mtu wa kupuuzwa umemuanzishia hadi uzi.maneno ya ex sikuzote ndivyo yalivyo, mbona ni very simple sana kuelewa hilo gentleman?
yaani unabebwa ufala wa kifikra kilofa namna hiyo? that's not right at all 🐒
Sijui huwa unawaza nini, yaani buku 7 ndiyo zinakufanya hivi 😳😳😳Jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuweweseka gentleman,
mtu wa maana kabisa kubebwa ufala kifikra na matapeli kama msukule polepole saa zingine inatia huruma sana.
haa,
we shupaza shingo na matango pori ya polepole 🐒
Hiyo niliyo quote hapo juu inakuelezea wewe CHAWA. Badala ya kujadili hoja nzito zenye mashiko za mzalendo mh Balozi Polepole, unakuja na porojo za kumjadili yeye binafsi, that's nonsense 🚮mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?
The best advice...!!!Ingekuwa unakaa kimya. Sio kila siku kupost ujinga na upumbavu.
Nakushauri Rudi kusoma commentsSote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa na kuropoka maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu mropokaji Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba msukule Polepole anatunga story na porojo za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.
Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.
Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?
why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana hususani Chadema masalia, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia msukule polepole?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Gentoman unajidhalilisha sana ujueSote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa na kuropoka maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu mropokaji Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba msukule Polepole anatunga story na porojo za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.
Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.
Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?
why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana hususani Chadema masalia, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia msukule polepole?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwanini Utumie nguvu kubwa kushupaza fikra zako kuhimiza umma huu eti usimsikilize HP na kumdhihaki juu kwa kumuita Msukule?Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa na kuropoka maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu mropokaji Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba msukule Polepole anatunga story na porojo za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.
Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.
Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?
why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana hususani Chadema masalia, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia msukule polepole?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
jiepushe na porojo gentleman, jikite kwenye hoja mahususi mezani kuhusu hekaya za msukule polepole,
Je, bado una poteza muda na hekaya zake ambazo hazikusaidii chochote?
huwa nina waza kizalendo mno gentleman,Sijui huwa unawaza nini, yaani buku 7 ndiyo zinakufanya hivi 😳😳😳
ni muhimu zaidi kusonga mbele kuliko kuzingatia comments za chadema masalia ambao kimsingi wamepoteza uelekeo na hawana cha kufanya zaidi ya kukubali kubebwa ufala wa kifikra na matapeli kama msukule polepole.Nakushauri Rudi kusoma comments
Gentleman,Gentoman unajidhalilisha sana ujue