kwahiyo kamanda wa chadema masalia, wewe ndie pekee ulieshupaza shingo na kuconcentrate na pupoteza muda dhidi ya hekaya nonsense za huo msukule, right?Ingekuwa unakaa kimya. Sio kila siku kupost ujinga na upumbavu.
jiepushe na porojo gentleman, jikite kwenye hoja mahususi mezani kuhusu hekaya za msukule polepole,Kwa hiyo unataka tumsilize mtu ambaye anasema simu 90 figo,maiti atakomboa wakati ameshindwa miaka 4???🚮
kulikoni gentleman upoteza time yako kuskiza hekaya nonsense za huyo msukule ambazo hazikusaidii chochote?Bora ungenyamaza tu watu wajue una za kuvukia barabara kuliko kuongea tukajua hata za barabarani huna.
ikiwa ni hivyo,Pole pole Anaeleweka sana Ndugu. Watanzania wa sasa ni watu makini sana kakaa.
Ccm itaondolewa na Wana ccm wenyewe kaa kwa kutulia Mjomba.
Wewe umejuaje alichosems kama hujapoteza muda wako kumsikiliza. Yule ni insider, anajua mengi kuliko wewe unategemea buku saba uishi.kulikoni gentleman upoteza time yako kuskiza hekaya nonsense za huyo msukule ambazo hazikusaidii chochote?
ni muhimu kuepuka makasiriko gentleman 🐒
Tunamkubali pole pole kwa asilimia 1000%Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa na kuropoka maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na kumsifu mropokaji Polepole, hasa chadema masalia, nao hivi sasa taratibu wameanza kumshtukia na kuthibitisha kwamba msukule Polepole anatunga story na porojo za kutafuta kiki tu na kutafuta umaarufu nonsense. Katika porojo zake hakuna uhalisia na ndio maana zimekosa mashiko na hazina athari zozote kisiasa nchini.
Anachoeleza kinasahaulika na kupuuzwa pale pale.
Ni upotoshaji wa kiwango cha chini sana ana fanya Polepole, Ex-wa CCM.
Ukiwa kama mdau wa jukwaa hili la heshima, unadhani kwanini hekaya za muungwana Polepole zimefikia hatua ya kuonekana ni umbea tu na ni kama maneno ya mtu mkosaji anaejaribu kuficha uovu wake na kuzungumzia watu badala ya issues?
why anapuuzwa hata na wale waliokua wakimuamini sana hususani Chadema masalia, na sasa hawapotezi muda wao tena kumfuatilia msukule polepole?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Kinyume cha Jina lako ni usiku na kichwa chako kimejaa Giza yaani usiku usiokuwa na nuru ,tuliza bangili yako chinimsukule polepole right, gentleman?🐒