Acha kuchekesha aisee, Heche hana talent yoyote na sio mbobevu wa siasa, anafanya siasa za kutukanana na kujionesha yeye ni mwamba (Tabia za kikurya)
Ni mtu wa mihemko sana na jaziba za kijinga, mtu kama huyu ni rahisi sana kudeal nae maana ukimchokonoa kidogo anapanic anaanza kukujibu na unakuwa umemtoa kwenye msitari.
Saivi ukimfatilia ameanza kuwatupia maneno wanaohama chama, kama ataendelea hivi soon ajenda ya no reform anaenda kuiua kwasababu ya mihemko anataka amjibu kilamtu, anataka adeal na kilamtu