Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,873
- 3,080
Heche yupo vizuri
Deal nae tuoneAcha kuchekesha aisee, Heche hana talent yoyote na sio mbobevu wa siasa, anafanya siasa za kutukanana na kujionesha yeye ni mwamba (Tabia za kikurya)
Ni mtu wa mihemko sana na jaziba za kijinga, mtu kama huyu ni rahisi sana kudeal nae maana ukimchokonoa kidogo anapanic anaanza kukujibu na unakuwa umemtoa kwenye msitari.
Saivi ukimfatilia ameanza kuwatupia maneno wanaohama chama, kama ataendelea hivi soon ajenda ya no reform anaenda kuiua kwasababu ya mihemko anataka amjibu kilamtu, anataka adeal na kilamtu
Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada