Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya kusikilzwa kwa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, Heche amebainisha kuwa chama hicho hakitarudi nyuma kitaendelea kusonga mbele
"hakuna kurudi nyuma mpaka nchi hii itakapopata ukombozi", amesema Heche
Heche amerejelea kauli ya Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi kufanyika kwa mauaji yaliyotokea na madai ya miili kuchukuliwa na vyombo vya usalama kupelekwa kusiko julikana ili kupoteza ushahidi, akisema vyombo vya kitaifa ndivyo vifanye uchunguzi huo 'na siyo vyombo vya dola vya Tanzania
,
Pamoja na hayo amebainisha kuwa vikao vya Sektretarieti pamoja na Kamati Kuu ya chama hicho vitaanza muda wowote vikilenga kutoa msimamo wa juu ya matukio yaliyotokea Oktoba 29, 20205 nchini