Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Huyo jamaa mshamba tu... Na hapo UDOM sijui anafanya nini..
Bora aache kusoma...
Udom kinaongozwa na ma- alhaji basi wanafunzi wao nao wanakuwa na mawazo ya kimadrassa kama ya huyu mwehu..
Huyo jamaa mshamba tu... Na hapo UDOM sijui anafanya nini..
Bora aache kusoma...
Aisee unanivunja mbavu hahahahaaaaaaaaaaaaaHayo sasa Majungu,Chaha alikuwa na Magari hata kabla John Heche hajawa diwani,ina maana ikipanda tu Migomba unalipwa na Mgodi? Hapo U dom uansoma Sayansi kimu na Majungu? Sirari hawapo hivyo muulize mama we ni wa wapi
Molemo,
Usiameshe mada hizi tuhuma hazina uhusiano na Bavicha, cha msingi Heche aje kujibu hizi tuhuma za kulipwa na mgodi..
Kingine anatakiwa haonyeshe hizo gari tatu kazipataje wakati yeye hana kazi?
Ni hayo tu mkuu wangu.
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.
Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.
Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.
Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu, yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!

Bila kuwaondoa Heche na Waitara katika siasa za CHADEMA Tarime jimbo hilo bora kuachana nalo, liachwe mikononi mwa mafisadi kwani wakurya hawa wamekuwa wanafiki kuliko watani zangu wazaramo
wewe watu wa tarime unaowasema ni kina nani? acheni kuleta hoja za kimasaburi humu ndani, Heche aliwasaliti wanatarime kwa vipi? kila mtu anajua Heche 2010 aliteuliwa na ngome ya kampeini kuwa kwenye timu ya mgombea urais na alizunguka nchi nzima pamoja na mama susan kiwanga wakimnadi Dr Slaa sasa usaliti wake kwa chama ni upi? hizo hoja mliziibua kumchafua Heche baada ya kampeini kwa hofu tu kwamba Mwita amepoteza jimbo na halmashauri kwahiyo mtafute kisingizio acheni kutafuta mchawi, Heche nakuomba endelea na kazi ya kujenga chama wala usije kujibu ujinga huu, nani hajui kwamba marehemu mzee Heche baba yake na Heche alikua na magari mengi tu pia unajua kwamba hata kaka yake na Heche ni mwanasheria na ana uwezo wa kununua hiace? kwa kuonesha kwamba wewe umetumwa na Mwita au wewe ni Mwita unamchafua Heche na Easter kwasababu ya hisia tu kwamba hawa wanaweza kugombea kipindi kijacho wewe acha uji....ng..a nimejaribu kufuatilia kumbe hata kipindi cha kugombea wenyekiti wa bavicha uliandika ujinga mwingi sana kujaribu kumchafua huyu bwana lakini sasa kazi yake inakujibu kwamba uliandika majungu tu. na sasa tunajua watu wanaohama kutoka ccm kama Mwita wanakuja na tabia za Kishibuda za kuchafua wenzao muache Heche ni zao la chadema tunajua kazi nzuri aliyoifanya pale saut akiwa chuo tunajua pia kazi nzuri aliyoifanya akiwa diwani tunajua jinsi anavyojitolea kwenye chama. na wewe ukirudi hapa tuambie huo usemaji wa watu wa tarime amekupa nani? pia tuambie umefanya mikutano kata ngapi kupata hayo maoni yako ya kimasaburi kuleta humu she....nzi
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.
Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.
Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.
Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu, yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!
Nilivyomuelewa mleta mada ni huyo Heche kuwa na Hiace tatu baada ya kuingia kwenye siasa. Kwa hiyo mtaji wake kisiasa ni kujichumia mali yeye binafsi (kama ilivyo kwa wanasiasa wote wa Tanzania) na si kuwatumikia wananchi.
hacha unafik,na wivu wa kike,
wewe ni msomi wa chuo cha kufuga nyuki sio UDOM.!