Heche anawasaliti Tarime mara ya pili?

nge utamaduni wa kumhukumu mtu kulingana na perfomance yake.Tujenge utamaduni wa kuangalia mtu ana vision gani kwenye community...Tuache majungu.Kamanda Mwita Waitara anatukanwa hapa hapa na watu waliokuwa wanaunga mkono mapambano aliyoongoza Igunga.Hebu tujenge chama tuache ku-promote mgawanyiko.Kamanda Ester Matiko anafanya kazi nzito,kila mtu anakumbuka harakati za nyamongo.

Kitu kingine cha muhimu,tuzingatie dhana ya uwajibikaji.Ukishutumiwa jibu hoja badala ya kulilia BAVICHA,UVCCM,CUF nk. Hizi rhetorics zinendekeza mduara wa uzembe na kukwepa wajibu wa kisiasa.Tuwe mfano halisi wa mabadiliko tuyatakyo

Tafadhali wakuu hebu tujenge chama,huu ugonjwa wa kutokujiamini kisiasa unaleta matatizo makubwa kiutendaji.

NB: JF inashushwa thamani na wimbi la Rumour mongers lililoingia,tusikubali kuwa trapped sasa kwenye majungu

Balance story Heche na Waitara wote wametukanwa hapa ,ukiangalia mleta thread ni kwamba ameweka mazingira ya kuwaingiza hawa vijana wawili wenye nia njema kwenye chama chao kuleta mgogoro la kuwafanya ni wao kutokufuata ushabiki wa mashabiki wao na wabaya wao ambao kwao ni cherekochereko wakiona nyuzi kama hizi, wajitahidi kuupuza stori hizi hata kama zina ukweli,uongo au uzushi lakini waangalie yale waliyoyapanga kukujinga chama chao manake mambo mangapi ya mitandaoni utakuja kuyajibu yaani mtu huna kazi zako zingine


Siku za karibuni umezuka mtindo wa kuvuana nguo kwa wanachadema hapa , sijui kama ni wanachadema kweli au ni watu wa fake IDs na Fake uanachama hii ni cyber space mtu anaweza kutengeneza scenerio tuu ,

Kwa maoni yangu nadhani wafuasi na wanachama wachukulie kwamba hiyo ndio changamoto chama kinapokua kwa kasi ya ajabu ,haya yote yatajitokeza , wengine watataka hili liwe lao,wengine watadharau wengine,wengine watajiona wao ni bora kuliko wengine,si ajabu ni silka ya kibinadamu mwisho wa yote lazima kuwe na makubaliano na zaidi kikubwa ni watu kutokuangalia allegations za mitandaoni,watu wahangaike pale kunapokuwa na facts na hizo zizungumzwe kati ya wanaotuhumiana au kwenye vikao husika
Lakini haya ya hapa ya watu kuattack personalities za watu umekuwa mtindo mbovu,kutaka kucheleweshana tuu kwenye mabadiliko na ukombozi wa nchi yetu
 
hiace 3 ndiyo nini unamawazo ya kiuumasikini wewe na siwezi ongea mengi kwasababu sijui una umri gani lkn kama ni kijana poleeesana!!!!!!!
 
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.

Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.

Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.

Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu,
yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche
hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!

upunguani wako umeanzia hapo, kuwa ni heri aendelee kupiga mzinga kuliko kufanya biashara ya HIACE, umasikini wa akili ni umasiki mbaya kuliko wote
 
We mleta thread ukome na umbea wako. Kama kitu hujui si uulize? Unapata faida gani kumchafua mtu jukwaani hapa bila sababu? Au umetumwa?
Kwa taarifa yako, Hiace hiace zilizopo ni mbili na hizo zote ni mali ya kaka yake Heche ambaye ni Mwanasheria NEMC.
john Heche namfahamu, hana UKWASI wa kiwango hicho.
Usiruhusu m.at.ako yafikiri badala ya Ubongo! Period!

I feel so bad to read such bad words - they tend to dilute once serious points! Please don't repeat. If you argue with unwise man decent people will make no difference. Choose wise words to react.
 
Poleni sana cdm, naona mnatoana macho.mpende msipende ni lazima mkubali ukweli kwamba hamtarudi Tatime mshinde tena. Mlipewa jimbo na. wana CCM mkashindwa kuongoza badala yake mkakalia kuchochea vita za koo.baada ya kuondolewa Tarime imetulia. Sasa mchaguliwe tena kwa mtaji gani! Toa chatema tarime Tochata.
 
Mkuu kwa mtazamo wangu na wewe mwenyewe umesema taarifa hizi ni za mtaani!!!!hivi kweli msomi mzima unaweza kutoa madai ya ajabu kiasi hiki kwa taarifa za mtaani!!??pia inanishangaza kwenye taarifa yako moja unatoa kauli 2!unadai wanapanda migomba ili walipwe na hapo hapo unasema wameshalipwa!!!hapa tushike lipi.

Pia unashangaza kusema kuwa walikimbia Tarime!!kwani mgodi wa nyamongo upo wilaya gani!!??watakimbiaje na bado wawe na shamba kwenye wilaya waliokimbia!!!

Naomba nikusaidie kidogo kuwa nje ya wilaya si kukimbia!!maisha ni maangaiko ndiyo maana hata wewe upo UDOM (kitu ambacho sina uhakika nacho kwa jinsi ulivyoonyesha uwezo mdogo katika kujenga hoja),navyojua heche ni mwenyekiti wa bavicha ambapo ofisi zipo Dar,je ulitaka abaki Tarime wakati kazi zake hazimruhusu kuwa huko?

Inashangaza unaonyesha mtu na sura mbili!!unadai hana kitu anapiga mizinga wabunge!!wakati huo huo unataka kutusadikisha kuwa ana pesa!!

Ndugu yangu nenda kajipange,tafuta taarifa zilizokamilika ili tuwe kwenye wakati mzuri wa kutoa kauli za kujenga si majungu,kumchanganya mwera ambaye yupo cuf na heche kwa wakati mmoja inaonyesha ni kama vile upo upande wa mwita mwikwabe,siasa za ukoo hazitawasaidia watu wa tarime na hata kauli yako eti unatoka sirari ina ukweli kidogo sana,umesema hivyo ili kuonyesha kuwa wewe si wa ukoo tofauti na heche!!kaa mkijua kuwa kwa utaratibu huu wa kikoo unaowatawala kuiondoa ccm kwenye hilo jimbo itakuwa ndoto,Tarime eleweni kuwa mnatukera sana sisi wataka mabadiliko,mnapiga hatua 5 mbele mnarudi nyuma hatua 7!!!

Hivi msomi ni mtu gani kwanza?
Kesha sema anasoma UDOM,na kwa uchambuzi wake hivo ndivo
wanavo fundishwa.

Hana tofauti na wale wanao shusha ndizo toka Bwireghi kuja mjini kwani
wamejaa majungu tu,mwenzao akiongeza baiskeli moja wanaanza kuulizana
"kaiba wapi ng'ombe huyu"..........

No wonder failures wanakimbilia UDOM.
 
Haha,kumbe dogo kapewa ban?
Kakosa nini jamani au ni hii topic?
hahaha,JF inaniongezea siku za kuishi kweli.
 
Mmmh hata hapo UDOM sijui unafanya nini!! Yaani kuwa na Hiace 2 au 3 kweli ni issue kwa watanzania leo. Aliyekuita Saguge alikuwa na maana yake maana una saguga kwenye JF hata kabla hujafikiria what to type. Hongera UDOM kwa balance wanafunzi.
 
wakuu nimepata datta za huyo dogo,nimeambiwa na rafiki zake kuwa yupo kundi la peter zakaria na huyo zakaria ndo alobwagwa na kamanda kipindi kile kwenye udiwani

Baaasi we umemaliza kila kitu Zacharia ni kilaza wa mwisho,hata kusema CCM oyee mpaka asome kwenye karatasi.
 
Back
Top Bottom