Hebu wana Jf tuache unafiki!

Tena wasalimie huko uendako.
Waambie kule Ngozi Imewambiwa Ngoma..!!!
Na Mbuzi Kala Mkeka,basi ni Heka heka.....!!!

Teh teh teh! jamani nilikuwa napita tu Madame B, ghafla nimekuona nikaona nikujibu tu! Haya chei chei!
 
Kauawa Kamanda baro hamjajadili wala kulaani! Kachinjwa Pc Saidi Z,bar hamkujadili wala nini ila akifa mtu mwingine ni mi thread kibaaaao! hivi hao walonyang'anywa uhai wao je?!

hivi umepost hapa tu CC au forum nzima nauliza tu maana CC tunaijua wenyewe..
 
mmmhhhh! kwani huu mtaa gani??? ni chit chat au ni kule kwingine?? isijekuwa nimekosea njia, jamani naomba kushikwa mkono kuongozwa, lol!

hahahaha njoo huku angalia siku ingine usijekosea ukaingia kwa jirani si unajua walivyobanana kama kwa mtogolee
jina lako huwa linanipa kigugumizi kulitaja... wakati nacheka
 
Anajifanya kuaga kumbe hata aondoki, Anachungulia kwa dirishani......we Ralphryder jitokeze nje tu tukupe salamu zako.
 
Last edited by a moderator:
Nini tena ?
Umeanguka au bodaboda ?
Mbona unachagua maalum wa kukupa dawa?

Hapana judgement hili goti ni la siku nyingi..........sa kwakuwa mamdenyi analifahamu ndo maana nikaamua kumfuata tena!

BTW, kwetu hakunaga bodaboda.
Kuna daladala za baiskeli tu...
 
Back
Top Bottom