Hebu wana Jf tuache unafiki!

Hebu wana Jf tuache unafiki!

Hapana judgement hili goti ni la siku nyingi..........sa kwakuwa mamdenyi analifahamu ndo maana nikaamua kumfuata tena!

BTW, kwetu hakunaga bodaboda.
Kuna daladala za baiskeli tu...

Hata hizo nazo zinaumiza !
Bt nijuavyo mie now dayz hakunaga kona ya nchi pasipokua na pikipiki !
Kwa hilo hujawa mkweli .
Aidha niku'pole na maumivuyo!
So far hukuwahi upeleka kwa babu?
 
Hata hizo nazo zinaumiza !
Bt nijuavyo mie now dayz hakunaga kona ya nchi pasipokua na pikipiki !
Kwa hilo hujawa mkweli .
Aidha niku'pole na maumivuyo!
So far hukuwahi upeleka kwa babu?

Haya bana umeshinda......japo kwetu pikpiki ni za madiwani tu na watendaji wa kata!

Huu mguu haunusi kwa babu.....unamsubiri mamndenyi tu lol!!
BTW, asante!
 
Ngozi ya govinda ilivyo pana kama pazia la century cinemax si goma litawambwa la kupigwa siku ya uhuru! Hahaha, chezeiya govi la Mr Rutherford Natalia?
...tena akiikosa akachukue ya Muzungu.
Au ya Govindaaaa...lol...!!!
 
Last edited by a moderator:
Anajifanya kuaga kumbe hata
aondoki, Anachungulia kwa dirishani......we
Ralphryder jitokeze nje tu tukupe salamu
zako.

Asulo habari za asubuhi! nililala kdg nimepita tena, kwa mbaali nikakuona kama umenisemesha vile! nawahi daladala! badae kdg!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom