Hebu tufundane leo......

Hebu tufundane leo......

....lol, si ndio wanadamu tulivyo bana? ..kuna wengine wakishamaliza dhiki ya 'usingizi' hata kutandika wajionea shida....
Godoro ni godoro tu, halijalishi ni la sponji. Usufi au sipringi....ubaya au uzuri wake wategemeana na dhiki yako.

mmh...hapo Mbu kuna Obvious differences...mengine ukilalia usingizi hauji! Mengine ni 'viulimi', mengine 'nchi nane', mengine ya "dodoma" mangine "comfy" na hapo kama ni mtu unathamini usingizi wako you know what to look for! Na ujua nyumbe nyengine unaingia kwa nje unasema "hiki chumba nitalala kweli" lakini ukifika,, bonge ya Godoro na hutaki kuliachia,,,,definately utaendelea kupaki "Range" uswahilini kwen chumba kimoja...:shock:
 
Last edited by a moderator:
Yaani katika siku ulizoniangusha Preta ni leo kha??? Sex?? Ha ha ha ha wanchekesha source FF.

Preta hakuna mwanaume wala mwanamke siku hizi ndugu yangu ni kuomba Mungu tu atusaidie

Hata ujitume vipi huko 6x6 hawezi kuacha kuwa na mpango wa kando asikwambie mtu

Tena mie ndo kabisa mambo ya 6x6 ndo siyataki kabisa maana unajituuuuuma bure tu

Preta nitaongea na wewe chemba
 
....lol, Kaizer bana,.....wewe umeni quote ndio nikakujibu bana....othrwise mie ni msomaji tu tangu niweke 'godoro' langu jana....

Ndo nimeona MwanajamiiOne anambwela hapa nikamkumbusha just in case..si najua masoulmate tena...hahahahaha mi langu bado nimelalia asee bado ni mapema mno kuliachia...kipupwe hiki
 
Last edited by a moderator:
Yaani MJ1 Unanichekesha sana...wachaga siku hizi wameshindikana., maana marafiki zangu kila ninayemkuta ana GF wa kichagga na wanamwaga umbea kwamba wako njema sana...sasa sijui hapa unataak kutuambiaje..halafu Mbu anasoma huu uzi kuna mahali nimeona amecomment:juggle:

Kaizer we si umeona gfsonwin alivyomaliza? Asa mchaga mie ninajua kufeel joto, sijui utelezi unajitengeneza asa hayo mengine aisee yanakuja automatiki bana, sijui sarakasi, samasoti, zungusha kiuno, panda juu ya chago ya kitanda, kochi meza ....yote hayo yanategemeana na mirindimo ya ngoma sa kama mpigaji apiga mdundo mmoja tu, tena ulopooza, mie hayo makung na fu ntayapataje ilhali kwangu yaja na ridhiko langu?

Ukinkuna nkakunika lazima ntajikuna tu aisee!
 
....lol, nalalia mkeka mie...."a bed is not everything to mbu"
 
Last edited by a moderator:
Kama kumbikumbi, may this last forever inshaallah.

Mamito........... huu uzi mpenzi umenifanya niwe bubu, naibiwa changu sasa hivi hapa nkiona mwe!!
Mwenyewe alishazoeshwa vya sahani za majani ya mgomba haya hapa anakutana na zile za makaratasi za kizungu ntapona mweli?! Ngoja niwe mpole tu

Mzima lakini mwali?
 
....lol, Kaizer bana,.....wewe umeni quote ndio nikakujibu bana....othrwise mie ni msomaji tu tangu niweke 'godoro' langu jana....

Koh koh................Soulmate a bed without a well fed saladed stomach!!................lol

Ndo nimeona MwanajamiiOne anambwela hapa nikamkumbusha just in case..si najua masoulmate tena...hahahahaha mi langu bado nimelalia asee bado ni mapema mno kuliachia...kipupwe hiki

Hah We Kaizer sijambwela mie nimeweka bayana loh........... meaning hakuna formula maalumu ya kumshika mtu, mapenzi ni maridhiano mridhike wote, mshikane wote but si mmoja tu akazanie ndio maana wengine wanadanganyika kwa waganga!

....lol, nalalia mkeka mie...."a bed is not everything to mbu"

Hah......nililitegemea hili!
 
Mamito........... huu uzi mpenzi umenifanya niwe bubu, naibiwa changu sasa hivi hapa nkiona mwe!!
Mwenyewe alishazoeshwa vya sahani za majani ya mgomba haya hapa anakutana na zile za makaratasi za kizungu ntapona mweli?! Ngoja niwe mpole tu

Mzima lakini mwali?

uanamwali niutoe wapi mpendwa, nywele nyeupe zimeanza kupiga hodi kichwani mwangu.

Usitie maanani mleta mada amepotosha, alhamdulillah katambua.

Wish you the best mamito.
 
Mnaonaje kutozingatia anayofundisha mleta mada kwenye uzi huu...

Whispering......... We havent reach to that part yet!.......

hahahahahhahahhhhh............. FA bana mi hata sijui inaendaje mradi najua tu kuwa enjoying is the ultimate important than kuwaza nitamshika vipi. .............Mbu mwenyewe huyu had ninunue X-pell alfu 6!!
 
enheeee.......:shock:
Cheki na RR kama ameshaupdate list ya wanachama.....😛hoto:

Toooooooop!:biggrin:
Ewaaaaa!

Hommie umeona hiyo useful posti kumbe!:yawn:
Ukiondoa bible nlosoma leo asubuhi, hakuna neno bora jingine zaidi ya hili aliloandika gfsonwin .... anafaa nimtambulishe mheshimiwa cheaman?

Yaani MJ1 Unanichekesha sana...wachaga siku hizi wameshindikana., maana marafiki zangu kila ninayemkuta ana GF wa kichagga na wanamwaga umbea kwamba wako njema sana...sasa sijui hapa unataak kutuambiaje..halafu Mbu anasoma huu uzi kuna mahali nimeona amecomment:juggle:
FYI, Moskwito wa JF aka Mbu ni mchaga wa Bomang'ombe.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer we si umeona gfsonwin alivyomaliza? Asa mchaga mie ninajua kufeel joto, sijui utelezi unajitengeneza asa hayo mengine aisee yanakuja automatiki bana, sijui sarakasi, samasoti, zungusha kiuno, panda juu ya chago ya kitanda, kochi meza ....yote hayo yanategemeana na mirindimo ya ngoma sa kama mpigaji apiga mdundo mmoja tu, tena ulopooza, mie hayo makung na fu ntayapataje ilhali kwangu yaja na ridhiko langu?

Ukinkuna nkakunika lazima ntajikuna tu aisee!

Kumbe wayajua, basi na iwe hivyo....AMEN
 
Yaani katika siku ulizoniangusha Preta ni leo kha??? Sex?? Ha ha ha ha wanchekesha source FF.

Preta hakuna mwanaume wala mwanamke siku hizi ndugu yangu ni kuomba Mungu tu atusaidie

Hata ujitume vipi huko 6x6 hawezi kuacha kuwa na mpango wa kando asikwambie mtu

Tena mie ndo kabisa mambo ya 6x6 ndo siyataki kabisa maana unajituuuuuma bure tu

Preta nitaongea na wewe chemba
Naona umeamua kuwadanganya wenzako LIVE!
 
Whispering......... We havent reach to that part yet!.......

hahahahahhahahhhhh............. FA bana mi hata sijui inaendaje mradi najua tu kuwa enjoying is the ultimate important than kuwaza nitamshika vipi. .............Mbu mwenyewe huyu had ninunue X-pell alfu 6!!

Hivi nyie si masoulmate wajameni?
 
Cheki na RR kama ameshaupdate list ya wanachama.....😛hoto:

Ewaaaaa!

Ukiondoa bible nlosoma leo asubuhi, hakuna neno bora jingine zaidi ya hili aliloandika gfsonwin .... anafaa nimtambulishe mheshimiwa cheaman?

FYI, Moskwito wa JF aka Mbu ni mchaga wa Bomang'ombe.

heby fanya ASAP....😛oa
 
Kaizer we si umeona gfsonwin alivyomaliza? Asa mchaga mie ninajua kufeel joto, sijui utelezi unajitengeneza asa hayo mengine aisee yanakuja automatiki bana, sijui sarakasi, samasoti, zungusha kiuno, panda juu ya chago ya kitanda, kochi meza ....yote hayo yanategemeana na mirindimo ya ngoma sa kama mpigaji apiga mdundo mmoja tu, tena ulopooza, mie hayo makung na fu ntayapataje ilhali kwangu yaja na ridhiko langu?

Ukinkuna nkakunika lazima ntajikuna tu aisee!
Khaaaa!!
............. Ni Wewe........... Mjukuu Mtiifu, 2012.​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom