Hebu tufundane leo......

Hebu tufundane leo......

Ukifika hapo kwa wanaume nadhani itabidi nikupokee kijiti. Vijana siku hizi wananiuzi sana bana... wamekuwa wazembe mpaka vibinti vinafanyana vyenyewe kwa vyenyewe...Khaa!

hahaha ur insane BABU!
 
A shortcut to a man's heart is through his stomach.

Simply means, feed him well.
KWAN DOES IT HAS TO BE WOMEN TUU ndio wanaohangaika kwa ajili ya hao wanaume me nadhan mambo haya ni two way traffic yan, you give to receive!
sio yeye hakukuruki kwa lolote hajarii kwa lolote malaya NO. 1 then wewe upo tu unakata hayo mauno!
hakuna bwana wanawake pia ni binaadamu wanahitaji kupendwa na kujariwa and all that yaan....!
 
he! obsesd umeamkia wapi leo mbona umefungukan hivi?
 
Last edited by a moderator:
Kazi kotekote hata mwanaume kama humtendei haki mkeo ni kosa
 
Hapa nahitaji kuombwa radhi....

hahahaha hommie Kaizer hapa uko kikazi au maslahi binafsi?

Vyote Hommie...Hivi hapo juu kuna mahali umetajwa Asprin? radhi anaomba ya nini? hebu Mleave Obsesd alone
 
Last edited by a moderator:
Hapa nahitaji kuombwa radhi....

hahahaha hommie Kaizer hapa uko kikazi au maslahi binafsi?

Vyote Hommie...Hivi hapo juu kuna mahali umetajwa Asprin? radhi anaomba ya nini? hebu Mleave Obsesd alone
 
Last edited by a moderator:
yaani umenipa kazi, sasa hivi kila nikitembea au nikikaa najifunza kutetemesha kalio lol

nikishindwa nakuja via PM, sikubali hii inipite kwa kweli.

Kongosho unaniacha hoi sana manake unataka notisi sasa hujaelewa nini vibration ni stail ya kutetemesha makalio peke yake..................... siendelei tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
natamani mke wangu angekuwa anapita huku asome huu uzii.... dah
ngoja nikajaribu mdada mmoja asiyekuwa na mvuto nione atakavyoperform
 
yaani umenipa kazi, sasa hivi kila nikitembea au nikikaa najifunza kutetemesha kalio lol

nikishindwa nakuja via PM, sikubali hii inipite kwa kweli.

Lipo lakini Kongosho au unaturusha tu roho hapa....:A S-baby:
 
Last edited by a moderator:
Kaizer, ha ha ha,lipo dogo sana kama la wema sepetu
ila ndo najitutumua kutetemesha tu

hahahaha Kongosho......la Wema Sepetu lipo la "lutosha" ndo maana unaona 'mzunguko wake kwa dakika" (RPM) ni mkubwa, hahahahaa so Mashallah hommie wangu Asprin atakuwa anafurahia viration mupya
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, Kaizer, hivi nimeandika kama la wema?

Nimekosea, waliniangusha bafuni nilipozaliwa nikatua kwa makalio
badala ya kutuna palibonyea, ila natetemesha tu vishimo vilivyopo.

Huyu Asprin huwa ananiju mwenyewe.

hahahaha Kongosho......la Wema Sepetu lipo la "lutosha" ndo maana unaona 'mzunguko wake kwa dakika" (RPM) ni mkubwa, hahahahaa so Mashallah hommie wangu Asprin atakuwa anafurahia viration mupya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom