How Do I Let Go

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,146
34,190
2013 is gone and in its stead God has brought us a brand New Year.

Sasa bwana in 2013 I lost a very dear female friend of mine. So dear that I cannot seem to let go. She is always on my mind. I cannot believe she is gone.

I think am losing it. Ipo siku I sent her a text message in the hope that her departure would be a bad dream.

Sinaga kawaida ya mazoea na wanawake, but this girl taught me the beauty of female friends. The extra mile of love and care that my bff male friends couldnt. Now shes gone.

Kama namuona we are lying together in bed tunatia story asubuhi. Then ananiambia shes hungry, tunaenda pub kupata mtori kumbe ndo motinyo mpaka kesho yake.

Ama siku tulitekwa..... Ama siku wigi lake lilidondoka club and instead of picking it she ran to me akilia.

Sometimes I smile at the memories but then reality strikes.

Around the time of her death I lost my ----ing phone. Could she have called??

I hate these never ending questions. I wanna let go so she can indeed rest in peace and I can stop this hurt...

How do I let go?
 
Ni kuukubali ukweli kwamba she is no longer there. Kuondokewa na mtu wa karibu na uliemzoea sana inauma but imeshatokea. Je umejipa time ya kugrief?? Lia if u feel like doing it it helps. Pia epuka kwa sasa kufanya vitu au kwenda sehemu mlizozizoea kufanya au kwenda wote. Kikubwa u hv to accept what happend and move on. Polee
 
Yeah, Dad told me that too. But the hardest part is I never shed a single tear. I miss her atug. Thanks for your advice.
 
Last edited by a moderator:
alikufa kwa ngoma au nini...

Wewe mzima kweli?
Mwenzio anahuzuni unamletea habari za ngoma!
Midundike ulimpelekea wewe au?
Nachukia watu wanaoleta utani ktk serious matter!
Go to the hell sucker!
...
Pole sana Karucee!
Vumilia tu mwaya, i hope mda utakusahaulisha yote hayo!
Just piga moyo konde!
Wote tutakufa na hakuna atakae baki!
...
Pole sana!
 
Accept it

Unachotakiwa kufanya sasa ni kuliaaaaaaaaaaaa hadi nafsi iridhike, kwa kulia unarelease uchungu (maana umesema hukulia)

Lia kadri uwezavyo

Na kubali hali halisi

Inaweza kuchukua miezi au hata mwaka inategemea na jinsi mlivyokuwa karibu, ila you will be ok
 
Wewe mzima kweli?
Mwenzio anahuzuni unamletea habari za ngoma!
Midundike ulimpelekea wewe au?
Nachukia watu wanaoleta utani ktk serious matter!
Go to the hell sucker!
...
Pole sana Karucee!
Vumilia tu mwaya, i hope mda utakusahaulisha yote hayo!
Just piga moyo konde!
Wote tutakufa na hakuna atakae baki!
...
Pole sana!
Thank you. Hivi ukifa kwa ngoma ndo unakufa zaidi ya wengine au?
 
Accept it

Unachotakiwa kufanya sasa ni kuliaaaaaaaaaaaa hadi nafsi iridhike, kwa kulia unarelease uchungu (maana umesema hukulia)

Lia kadri uwezavyo

Na kubali hali halisi

Inaweza kuchukua miezi au hata mwaka inategemea na jinsi mlivyokuwa karibu, ila you will be ok

Yeah. I guess time does heal. Thanks.
 
lliwai nitokea hiyo...
Kwa first tym napewa taarifa ya kifo, sikutaka kuamini... l called him but ilipokewa na mtu mwingine....
Baadae nikalazimika kuamini, nikajiaminisha kua whatever l am doing basi atakua beside me, sometimes naenda kwenye grave yake, l can say anything ninachotaka kumwambia and l feel good somehow...
Jaribu kuendeleza yale mazuri aliyoyafanya/ kukushauri kuyafanya, thats the only way itakayokufanya ujisikie kua yuko beside you.
 
Jirani pole sana,
Jifunze kuishi nje ya uvuli wa mambo mliokuwa mkifanya pamoja.

Pia usipende kuwa sana idle, hii itakupa muda mrefu wa kuwazua.

Mwisho jaribu kujiaminisha kuwa rafikiyo hayupo tena, jaribu kukubali kuwa kifo kipo karibu yetu na kila mtu mwenye uhai ipo siku atatangulia.
 
Pole sana kaka. Ukishindwa sana go find a pychologist atakuelekeza jinsi ya kudeal na grief za kumpoteza ur loved one.
 
Jirani pole sana,
Jifunze kuishi nje ya uvuli wa mambo mliokuwa mkifanya pamoja.

Pia usipende kuwa sana idle, hii itakupa muda mrefu wa kuwazua.

Mwisho jaribu kujiaminisha kuwa rafikiyo hayupo tena, jaribu kukubali kuwa kifo kipo karibu yetu na kila mtu mwenye uhai ipo siku atatangulia.
Sawa kabisa jirani.
 
Pole sana... Njia pekee...
  • Jizuie kumlinganisha yeye na wasichana wengine kwa uzuri, love or anything ..ukimweka yeye kama benchmark hautomsahau kamwe..
  • Jizuie kumkumbuka kwa njia yeyote...kama vile.. ningekuwa mimi baada ya kupata mawazo hapa ningemwomba mod afute hii thread..
  • Hakuna atakayekusaidia kumsahau..lakini new activities n' approach to life itasaidia..
  • Last but not least kumbuka hauko peke yako wengi wamepoteza close friends, soul mate, part of their life etc..lakini wamesahau..
 
Pole my dear Karucee.....with time, you will be fine kabisa. NA utampata wakufill hiyo gap...I understand ur grief..but take heart, and move on.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom